criss rwega
Member
- Apr 16, 2012
- 47
- 4
Bora anayekosea kuongea kuliko anayeandika.jisahihishe kwanza wewe
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
hujajua dhumuni la uzi huu ndo maana waropoka dada
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
Du TBC ndio imeleta majanga haya, ona sasa watu mechi imeisha wao ndio wanaonyesha. kwa hiyo sasa ni 2:1 loh!
Huyo man of the match anapatikana half time? Mechi muda huu ni mapumziko na, japo Tanzania Bara tunaongoza (2-1) mchezo haujaisha. Don't misinform people!
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
mkuu suruma uganda wamesawazisha,natabiri tutashinda kwa penati.

Vipi angekua mchina afu akaomba kuulizwa kwa kichina, sredi ingekuwepo?