Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,340
we si una ona kichina?
Lugha yoyote kuijua ni sanaa, kadri unavyofanya mazoezi ndivyo unavyoijua na kama haupo vizuri kwenye lugha si vibaya kurudi kwenye lugha yako japokuwa bado kizungu tunahitaji kufanya bidii kukijua kama lugha ya pili ya mawasiliano angalau katika kiwango kidogo cha kuwasiliana. Michuano imechezwa kwa waswahili inapendeza kila anaehojiwa akatwanga kiswahili kwani inaweza ikawa opportunity kwetu pia kikaingizwa kwenye lugha ya mawasiliano za kimataifa na ukienda kwenye mikutano mikubwa ukiona kiingereza kinakuzingua unatwanga kiswahili kwa kuwa kunakuwepo mkalimani.