Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,914
- 133,926
Hongera sana Mbwana Samata
Alishindwa kumjengea baba yake nyumba ya maana mpaka kifo chake leo hii anajenga kwa ajili ya watoto wenye uhtaji.
Mpuuzi huyo kumjibu ni kupoteza mudaBaba yake alisema anataka nyumba mpya?
Na Baba yake Mbwana alimjengea babu yake Mbwana? 🤔Alishindwa kumjengea baba yake nyumba ya maana mpaka kifo chake leo hii anajenga kwa ajili ya watoto wenye uhtaji.
View attachment 3547304
Hongera sana Mbwana Samata
Inshallah 🙏Amefanya kitu kizuri sana
Natamani na mimi Mungu anipe fursa ya kuacha alama kwa wahitaji, INSHA ALLAH!
maswali ambayo sipendi kuulizwa.Na Baba yake Mbwana alimjengea babu yake Mbwana?
maswali ambayo sipendi kuulizwa.Na Baba yake Mbwana alimjengea babu yake Mbwana?
maswali ambayo sipendi kuulizwa.Na Baba yake Mbwana alimjengea babu yake Mbwana?