Mbwa Simba lol

Mbwa Simba lol

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10525601_10152268159659135_3650123538536021324_n.jpg
 
Could it be a laboratory cross breed between a dog and a lion?

mkuu hamna cha cross breeding hapo.kwa sisi ambao tuna idea kidogo na graphic design & visual communication,hili jambo huitwa "photo manipulation".it's very common in today's world.can be done via standard computer software like adobe photoshop, aperture and GIMP.picha za namna hiyi zimejaa tele kwenye mitandao ya kijamii.mfano kuna zile zinazo muonyesha obama na bush kama wanawake au ile iliyo jaribu kumdhalillisha raisi wetu enzi zile kupitia mtandao flani hivi nimeusahau jina.

ila huyo jamaa aliye manipulate hizo picha za mbwa,inaoneka ana skills kubwa sana ktk art hiyo.
 
Nashukuru kwa elimu bora. Nadhani kama unavyosema , it is most likely ni photo manipulation, kama ulivyosema, maana kama kweli ingelikuwa cross breed done in the lab, the scientific world would have addressed this in the international fora of which I am not far away anyway!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom