Naichukia sana Simba. Imvenigharimu mara 3 hivi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,412
Reaction score
23,437
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.

Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa ban humu kama mara 3 sababu ya hii team. Mbwa kachoka kabisa...

Siku Simba ikifa nitafurahi sana. Yanga Bingwa. Hilo halizuiliki. Ni suala la muda tu.
 
Ila lile goli la kibichwaSwala (Elie Mpanzu) lilikuwa balaa. Yaani Banka koplo mzima wa "geshi" alikaLISHWa, akaja njugui kahara kakaa
 
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.

Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa ban humu kama mara 3 sababu ya hii team. Mbwa kachoka kabisa...

Siku Simba ikifa nitafurahi sana. Yanga Bingwa. Hilo halizuiliki. Ni suala la muda tu.
Acha kuvuta skanka utaliwa !
 
Nabado! Vyura mmejua kutulia tuliiiii

Sisisimbaaaaaa
 
Back
Top Bottom