Mbwa msanii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwa msanii!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ngoshwe, Feb 19, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,086
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huyu dogi kapoteza kabsaa wajibu wake wa asili kwa kujihusisha na usanii wa dansi kwa lengo la kumwongezea kipato bwana wake na mwenyewe kuish maisha mazuri katika jamii!!!!

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=Mhrze8kJQM0[/ame]
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,143
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha!!!! heeee! huyu mbwa au? But so nice, nawapenda sana mbwa. Unaweza kumfundisha kufanya lolote, likewise paka.
   
 3. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 976
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 60
  kweli huyu mbwa kapoteza mwelekeo, sio mbwa tena huyu, ila inafurahisa
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Feb 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ngoshwe, ukosi vishindo , kweli nikiona post zako lazima nipitishe macho, umefanya siku yangu iwe na kicheko leo. otherwise asante sana.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Acha fiksi zako bana!! Tangu lini paka anaweza kuwa tamed??
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,086
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Inawezekana mzee ni mazingira tu na makuzi; See this also:

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=Wvo-g_JvURI&NR=1[/ame]

  Most World exsensive cat:
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=RqJRhX72FmI&NR=1[/ame]

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=rZEgvh_u_Ts&NR=1[/ame]

  YOTE NI MAKUZI na VIpaji HII ni kwa wale watoto bajanja baliozaliwa na damu wa Usaniii:

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=mk42wSXXGq8[/ame]


  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=KNHLywCfnHI&feature=related[/ame]

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=mYfMZEnEiaw&feature=player_embedded[/ame]#


  AND THIS CUTE LITTLE BOY:
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=daOu7_Gf3gM"]http://www.youtube.com/watch?v=daOu7_Gf3gM[/ame]

  HAVE NICE W'KEND GUYS!
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  .....Huyu mbwa kaniacha hoi, anavyocheza huo mziki lol.......nafuu siku nimeanza vizuri kwa kicheko maana mbwa anayarudi si mchezo,huyu mbwa atanifanya niwe nacheka hapa ibada ikianza.........lol
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,232
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  SOO NICE...
  rAHA TUPU!
   
Loading...