cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Wanajf wote hatulagi mishikaki ya 100 tunakula kuanzia ya buku mbili chini ya hapo labda mishikaki ya kuku ya 1000Mkuu sio walaji wote wapo jf na hata hawa wa jf wanaeza wasijali wala nini 😅 hivyo ulaji ukaendelea kama kawaida.
Siku hizi kuna mbuzi koko....unakutana na mbuzi wanazurura tu wamenona balaaa... majaribu sana kwakweli huwa nawamezea mate






wee Eve una nini lakinii??🤣🤣 Kwa kweeli.Wanajf wote hatulagi mishikaki ya 100 tunakula kuanzia ya buku mbili chini ya hapo labda mishikaki ya kuku ya 1000
Mbuzi wanaogopwa sana hao!Siku hizi kuna mbuzi koko....unakutana na mbuzi wanazurura tu wamenona balaaa... majaribu sana kwakweli huwa nawamezea mate
Kuna siku niliona kundi la mbuzi pale mitaa ya airport aloooo nilisimama kuwaangalia walikua 8 majike ya maana wote weusi mwingine ana mimba yani hadi nilimeza mate wanafaa kwa supu na kuchoma.... majaribuni kichizi mamaeehwee Eve una nini lakinii??
Yule fundi wa vitoweo vya jitijiti Msamvu Morogoro analizungumziaje hiliMiaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lakini siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
Kuna kipindi njia ya Iringa Dim kulikuea na mama anauza sambusa za nyama na mapande ya nyama ya mbuzi kwenye mabasi, sijui bado anaendelea au ameacha?Uwiii!! Kwa hizi comments Kama nawaona wale wapenda mishikaki inayouzwa mia mia wanàvyojisikia mioyoni.
Wee hao si ndo wanasema mbuzi watu? Yaan misukulee??Kuna siku niliona kundi la mbuzi pale mitaa ya airport aloooo nilisimama kuwaangalia walikua 8 majike ya maana wote weusi mwingine ana mimba yani hadi nilimeza mate wanafaa kwa supu na kuchoma.... majaribuni kichizi mamaeeh






😁😁😁 Kutishana tuWee hao si ndo wanasema mbuzi watu? Yaan misukulee??![]()
Wachina wakishamaliza miradi nchini na wakaondoka tutawaona mbwa koko, paka na vijoka joka wakivinjari mitaaniMiaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lakini siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
Sasa wachaga wameingiaje Tena mkulu....Mbwa koko wameadimika kwasababu.
1. Kuongezeka kwa vijana wa kichaga mjini wasio na Ajira.
2. Kuongezeka kwa idadi ya wachina mjini.
3. Kuongezeka kwa biashara ya mishkaki muda wa usiku especially maeneo ya stendi..
Haswaaah




