Mbwa koko wameadimika mtaani

Mbwa koko wameadimika mtaani

Unanunua mishkaki ya 100 au 200 na nyama kubwakubwa hata hujiulizi ndgu.

Kilo ya nyama 7000 afu mshkaki 100 na umejaa tele mzee shtukaa

Ushawahi kuona wapi mshkaki unauzwa 100 kama sio kadogy kadodo kadodo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.

Lakini siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.

Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
wapo....tembelea maeneo ya Saint Augustine wapo WA kutosha Hadi wanamwagikia
 
Kwenye miji mikubwa hapa Tz ndo wameadimika lkn ukizama ndani huko kama kawaida yanazurura hovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom