dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,681
- 18,588
Buguruni kmmk walinilisha mbwamishkaki ya bugurunu bro!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Buguruni kmmk walinilisha mbwamishkaki ya bugurunu bro!!
Ddm pale swaswa Kuna waauza mishkaki wengi mno na Ni Bei ni Mia mbili kwa moja ,niliwai kumuliza mtu mnapata wapi nyama hz akanijibu madukani jirani hapa bas nikaenda lile duka aliloniambia kuwa wanapata hxo nyama Hapo nilienda nikamuuliza muuza duka Hilo na kuruka mita Mia huku akicheka aksema hkn muuza mshikaki hapo nnje anaweza kununua nyama kwangu hao waliokuambia kuwa walinunua hapa wamekudanga nya
Mpk leo sijajuwa jamaaa wanapata wapi mishikaki hzo za Mia mbili
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app





Hiyo ni Chakula ya Wachina Mkuu.....Wachina wakishajua kuna Mbwa sehemu, hawezi kumaliza siku tatu huyo Mbwa. Wana Mitego yao ya kuwakamata.Umeamua kuchokoza Wahehe?
Hiyo ni Chakula ya Wachina Mkuu.....Wachina wakishajua kuna Mbwa sehemu, hawezi kumaliza siku tatu huyo Mbwa. Wana Mitego yao ya kuwakamata.







Jitahidi usile mishikaki ya mia mia rafiki.Mmh jamani tunatishana kwenye comments![]()
😅😂 kuna siku nilikula mishkaki hapo nilijiskia vibaya usiku mzima, ile sio nyama ya kawaida.Hapa Mbezi stand tumewatafuna sana, sema nini, nyama yao ngumu sana japo ina mafuta.
Lakini fresh tu....
TUMISHIKAKI TULIOJAA MITAANI UNADHANI NI NGOMBE?, OGOPA SANA, LIFE IMEKUWA NGUMU WATU WANABUNI KILA JAMBO, KIBAYA ZAIDI, NYAMA IKIPAKWA VIUNGO KUIGUNDUA HUWEZI HATA PAKA UNAWEZA KULISHWA.Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lakini siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
Wanakata vipande vikubwa vikubwa kuvutia wateja. Nimekula mara mbili na mara zote niliharisha. Mdogo wangu anafanya kazi stand ya Magufuli ndiye alinisanua.😅😂 kuna siku nilikula mishkaki hapo nilijiskia vibaya usiku mzima, ile sio nyama ya kawaida.
Kweli watu wanatafuta hela, alafu mingine wanaitia rangi ili wasishtukiwe.Wanakata vipande vikubwa vikubwa kuvutia wateja. Nimekula mara mbili na mara zote niliharisha. Mdogo wangu anafanya kazi stand ya Magufuli ndiye alinisanua.
Hata boda ya Busia nimetafuna sana nyama ya nyani bila kujua 😂😂😂
Sina hakika kama bado yupo.Kuna kipindi njia ya Iringa Dim kulikuea na mama anauza sambusa za nyama na mapande ya nyama ya mbuzi kwenye mabasi, sijui bado anaendelea au ameacha?
Nisiseme uongo, mimi hata bila safari mishikaki napenda sanaa 😂😂.. Hata kwenye menyu naweza kula wali mbogamboga na mishikaki tu na ninaridhika kuliko rost. Kinachoniokoa huwa sili kila sehemu hasa zile zenye bei ambazo haziendani na hali halisi ya buchaniKweli kabisa hata mimi naonaga bora kubeba chakula ambacho kwa asilimia 100 unakuwa na uhakika nacho.
Japo sasa hasa nyie Me baadhi bila kula hiyo mishikaki ya njiani wanaona kama hawajasafiri. 😅
Hapo sawa Mkuu. Nyama zisizoeleweka ni zile unaletewa madirishani. 😅Nisiseme uongo, mimi hata bila safari mishikaki napenda sanaa 😂😂.. Hata kwenye menyu naweza kula wali mbogamboga na mishikaki tu na ninaridhika kuliko rost. Kinachoniokoa huwa sili kila sehemu hasa zile zenye bei ambazo haziendani na hali halisi ya buchani
Zile za stand na chips za moto huwa sinunui 😂 Ila kuna wale wa posta kitambo wanachoma mishikaki na ndizi, zile nimekula sana hasa siku nikiwa juu ya maweHapo sawa Mkuu. Nyama zisizoeleweka ni zile unaletewa madirishani. 😅
Hahahaa! Sio bure Mkuu nawe ni mmoja ya waliokula nyama ya 🐕. 🤪Zile za stand na chips za moto huwa sinunui 😂 Ila kuna wale wa posta kitambo wanachoma mishikaki na ndizi, zile nimekula sana hasa siku nikiwa juu ya mawe
Ahh ndio vitu tunaweza mudu au unadhani kuna mtu anainjoi kula mihogo na dagaa mchele daily, ni bajeti tu hazibajeti 😂😂Hahahaa! Sio bure Mkuu nawe ni mmoja ya waliokula nyama ya 🐕. 🤪
Ila wale wauzaji wa mjini bana sijui wanaweka nini zile mishikaki kwani unakuta wamezingirwa na wanunuaji kibao halafu hamna anayejali hata ule moshi watu ni kula mishikaki na ndizi kwa kwenda mbele. 🤣🤣🤣