Ila hivi vitu vya njiani hasa nyama sio za kuziamini ndo maana wanaosafiri na train, kama mtu hajiwezi anapika chakula kingi na anakiweka kwenye post fresh kuliko kulishwa mbwa manyoni 🤣🤣Uwiii!! Kwa hizi comments Kama nawaona wale wapenda mishikaki inayouzwa mia mia wanàvyojisikia mioyoni.
Kama haudhuriki basi ni mali safi.Katiba isilisahau hilo.KAma kweli hivi, wala supu na mishikaki kiholela kazi kwetu
Ni baada ya wachina kuongezeka.Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lkn siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
Tobaaaah!!Hapa Mbezi stand tumewatafuna sana, sema nini, nyama yao ngumu sana japo ina mafuta.
Lakini fresh tu....
We mishikaki iliyojazana mtaani ya mia mia, unadhani nyama gani ile.. steak ni 12k.
Ndio hao hao tunawapunguza.![]()





ndo maana sitaki mishkaki ya mia mia, hasa usiku kwenye ma stend. LolAjira ya mishkaki ya 50 na 100 kwenye vituo vya daladala imewamaliza hao mbwa![]()
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app






nyie watu lolKweli kabisa hata mimi naonaga bora kubeba chakula ambacho kwa asilimia 100 unakuwa na uhakika nacho.Ila hivi vitu vya njiani hasa nyama sio za kuziamini ndo maana wanaosafiri na train, kama mtu hajiwezi anapika chakula kingi na anakiweka kwenye post fresh kuliko kulishwa mbwa manyoni 🤣🤣
Siku hizi wao hawapigwi mikwara, nduki wanatoa na wanaungiwa vile vile na kugeuzwa mishikaki ya mia mia. Famchezo nn.tuache masihara mbwa koko wana mikwara sio ya kitoto ukiwa muoga ukatoka nduki lazma wakuungie






mishkaki ya bugurunu bro!!Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lkn siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
Una pointKama haudhuriki basi ni mali safi.Katiba isilisahau hilo.
Mtaua biashara za watuUwiii!! Kwa hizi comments Kama nawaona wale wapenda mishikaki inayouzwa mia mia wanàvyojisikia mioyoni.
Stendi zipi hizo?Kuna nyama flan hivi nayaona stand zinachomwa, yan zina sura mbaya sijui hata ni vitu gani lakini watu wajazana kununua kwa anayejua zile hua ni nyama gani? na kwanini watu wanazipenda sana?
HahahSiku hizi wao hawapigwi mikwara, nduki wanatoa na wanaungiwa vile vile na kugeuzwa mishikaki ya mia mia. Famchezo nn.
![]()
Mkuu sio walaji wote wapo jf na hata hawa wa jf wanaeza wasijali wala nini 😅 hivyo ulaji ukaendelea kama kawaida.Mtaua biashara za watu