Mbuzi wa Bongo bwana akikuangalia ni kama alishakuona mahali

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
FB_IMG_15973050133485427.jpg

🤣😅Hapo 👆 anajiuliza huyu nilishamuona wapi vile mbona kama nishamuona sehemu?
 
Huyu Mbuzi niliwahi Kumuona Maeneo ya ilala boma pale karibu na ofisi ya bashitee...mbuzi sijui wa nani waleeToka nakuja dar dogo janja now nafamilia nawaonagaa tu ile mitaa
 
Huyu Mbuzi niliwahi Kumuona Maeneo ya ilala boma pale karibu na ofisi ya bashitee...mbuzi sijui wa nani waleeToka nakuja dar dogo janja now nafamilia nawaonagaa tu ile mitaa
Na hujui nani anawafuga wapo tu wanajiongoza
 
Yani sijui wa nani
Huku ninapokaa kuna mbuzi wapo watatu na kondoo mmoja basi hiyo mifugo huwa inajiongoza yenyewe na kurudi nyumbani bila mtu kuziswaga na haina kamba mpaka unasema au mwenye nazo ni mrogi nini😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom