Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

Wakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
Karibu sana ktk ufugaji wa Mbuzi, naomba nikushauri kitu mifugo yote pia ina rski kubwa sana hakuna mfugo au ujasiria mali usio kuwa na changamoto, yote inachangamoto zke kikubwa kinacho pashwa kufanywa na mfugaji ni kujua njia mbali mbali za kuzikabili hizo changamoto ndio utavuka.
 
Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
weeee
 
Back
Top Bottom