Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

  • Thread starter Mzee wa kusawazisha
  • Start date
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
3,316
Points
2,000
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
3,316 2,000
Ninachokijua kuhusu mbuzi ni kwamba wana KIBURI.
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
9,511
Points
2,000
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
9,511 2,000
Mie walisepa juzi na kuku 23 majogoo. Najipanga mkamuone mshana akiwa kazini
Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
 
LuisMkinga

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
987
Points
1,000
LuisMkinga

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
987 1,000

upo maeneo gani??
 
nahitaji sana huo msaada
 
mzinga makasini

mzinga makasini

Member
Joined
Apr 25, 2019
Messages
25
Points
45
mzinga makasini

mzinga makasini

Member
Joined Apr 25, 2019
25 45
Tatizo la kuku ni wezi tu kudadeki, wasenge wanaweza wakahamisha banda zima na asiwepo hata kuku mmoja wa kupiga kelele.
ulikuwa hujajipanga kwenye kuku,mm ninao 1000 na zaidi kufa wanakufa na bado napata faida,mbuz wako vizur,chamsingi ujipange faida ni ndogo kuliko kuku mkuuu ujipange na watalaam wa mifugo,kumbuka hakuna kaz rahisi hapa duniani
 
Forum statistics

Threads 1,304,178
Members 501,290
Posts 31,505,441
Top