Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

  • Thread starter Mzee wa kusawazisha
  • Start date
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,233
Points
2,000
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,233 2,000
Wakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
 
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
4,701
Points
2,000
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
4,701 2,000
Mbuzi kwy magonjwa wavumilivu kidogo kuliko kuku, ingawa shughuli ya ufugaji inahitaji umakini sana
 
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
2,747
Points
2,000
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
2,747 2,000
ukitunza kwa kiwango cha juu kabisa kundi la mbuzi haliwezi kuongezeka zaidi ya mara 6 kwa mwaka kundi la kuku linaouwezo wa kuongezeka mara +100.
 
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,233
Points
2,000
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,233 2,000
Mbuzi kwy magonjwa wavumilivu kidogo kuliko kuku, ingawa shughuli ya ufugaji inahitaji umakini sana
Ni kweli kabisa mkuu
 
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,233
Points
2,000
Mzee wa kusawazisha

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,233 2,000
ukitunza kwa kiwango cha juu kabisa kundi la mbuzi haliwezi kuongezeka zaidi ya mara 6 kwa mwaka kundi la kuku linaouwezo wa kuongezeka mara +100.
Ni kweli kabisa lakini kuku inatakiwa kua makini
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
16,784
Points
2,000
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
16,784 2,000
Hao kuku waliokufa uliwapa chanjo wiki za kwanza ?
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
4,794
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
4,794 2,000
Mkuu jaribu kuangalia hata mbuzi katoliki. Wanalipa hawa jamaa
 
cliff wyn

cliff wyn

New Member
Joined
Jan 29, 2017
Messages
3
Points
45
cliff wyn

cliff wyn

New Member
Joined Jan 29, 2017
3 45
Kuna changamoto ya wizi wa mifugo Hii miwili. Namaanisha MBUZI na KUKU.
Lakini, Ni mala chache sana Kusikia Wizi wa KITIMOTO (NGURUWE) aka NOAH.
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,426
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,426 2,000
Mbuzi hawazaliani kwa speed ya kuku pia jiandae kulaumiwa kwenye ufugaji wa mbuzi.
 

Forum statistics

Threads 1,304,151
Members 501,282
Posts 31,504,691
Top