mbuzi kwa shs 60000

mbuzi kwa shs 60000

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
694
Reaction score
320
Kwa wale wanaopendelea kitoweo cha nyama ya mbuzi tafadhali piga 0659604089. Mbuzi wapo watano wasiopungua kilo 40 kwa uzito na zaidi, nawauza baada ya sehemU ya kuwafugia kukosekana!!
 
Wote ni madume/majike au ni mchanganyiko
 
Kwa wale wanaopendelea kitoweo cha nyama ya mbuzi tafadhali piga 0659604089. Mbuzi wapo watano wasiopungua kilo 40 kwa uzito na zaidi, nawauza baada ya sehemU ya kuwafugia kukosekana!!

Uko wapi mkuu?na nawezaje kuwaona?
 
Kwa wale wanaopendelea kitoweo cha nyama ya mbuzi tafadhali piga 0659604089. Mbuzi wapo watano wasiopungua kilo 40 kwa uzito na zaidi, nawauza baada ya sehemU ya kuwafugia kukosekana!!
40kgs per a head au in total for both 5heads?????????????
 
Mkuu Dar ndio default so ukiona tangazo kama hilo alafu mtu hajasema yupo mkoa gani just jua tuu kuwa yupo Dsm.

Kweli mkuu ni daresalama hii hii, mbezi chini/kawe beach karibu na rainbow, wamebaki watatu hadi sasa,karibu
 
Mkuu per a head na sio in total for both,and that is minimum weight,btw mbuzi sio sungura au siri wawe na uzito wa unyoya!!
Mkuu mbuzi wa kg40 sijawahi kumuona.
Uzito wa mbuzi mkubwa wa kienyeji dume makisai ukishamchinga ana range 13-16kgs only,so kabla ya kuchinjwa atakua ana range 17-25kgs.

By the way,tufanye hao wako wana hizo 40kgs kabla ya kumchinja,it means ukimchinja ni around 33-35,jee kwa bei hiyo ya 60,000 huoni kama ni hasara?
Mara ya mwisho nilinunua nyama ya mbuzi k,koo mwaka jana it was 6,000tsh per a kili.Tufanye 5,000x33kgs=165,000.
Jee huoni kwamba unapoteza takribani tsh 105,000?
 
Mkuu mbuzi wa kg40 sijawahi kumuona.
Uzito wa mbuzi mkubwa wa kienyeji dume makisai ukishamchinga ana range 13-16kgs only,so kabla ya kuchinjwa atakua ana range 17-25kg

By the way,tufanye hao wako wana hizo 40kgs kabla ya kumchinja,it means ukimchinja ni around 33-35,jee kwa bei hiyo ya 60,000 huoni kama ni hasara?
Mara ya mwisho nilinunua nyama ya mbuzi k,koo mwaka jana it was 6,000tsh per a kili.Tufanye 5,000x33kgs=165,000.
Jee huoni kwamba unapoteza takribani tsh 105,000?

Kwa kua tunaelimishana atika njia ya kutafuta ukweli basi wacha tufahamishane, kwa ufupi niliwanunua kwa ajili ya kuwafuga so nikachagua mbuzi maalumu lakini kutokana na mataraji ya eneo la kufugia kubadilika matumizi ikanibidi niwauze,niliwanunua shs elfu 40000 kila mmoja na nimewauza zaidi ya hapo, lengo langu halikkua kutengeneza faida bali kufidia pesa na garama yangu na pia kwenye dini yetu kupata faida kubwa sana ni dhambii!!!!
 
Dini gani hiyo mkuu?Aya?
Mie ni islam,na nijuavyo mimi biashara haina kiwango cha faida,kinachoelekezwa ni kwamba faida isizidi bei halisi ya eneo husika.
Kwa mfano bei ya mbuzi kwa hapo Dar ni karibu 120,000.....lakini haijarishi wewe umemnunua bei gani.

By the way nakupongeza kwa kuitanguliza dini mbele maana ndio mwongozo wa maisha yetu ya hapa duniani na kesho akhera!
 
Back
Top Bottom