Mbunge Zungu wa Kinondoni

Mbunge Zungu wa Kinondoni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
10689565_10203909680715165_4244877556878932701_n.jpg
​
Ni enzi za Mwalimu, aliitwa Derek Bryson, pichani ni wa kwanza kushoto. Alipata pia kuwa waziri wa kilimo na ushirika. Ni mwasisi wa mpango wa kutenga viwanja Sinza ikiwamo miundo mbinu kama vile mitaa, viwanja vya wazi na maji ya bomba, hata kabla watu hawajajenga. Derek pia ndiye aliyepelekea Shirika la Posta kufungua matawi Kinondoni, Ilala na Temeke.Alipata kutamka Bungeni; Ni ajabu mtu apande basi na kulipa nauli kutoka Kinondoni aende mjini kununua stempu yenye thamani sawa na nauli yake ya basi, kwanini asingenunulia Kinondoni na kuituma barua yake akiwa Kinondoni? Na majibu ya Posta na Simu ikawa ni kufungua matawi ya Posta wilayani...! (Picha hii ni kutoka kwenye kitabu cha Sir Andy Chande, Knight In Africa)
Good morning!
Maggid.(P.T)
 
Waliorithi ofisi zilizoachwa na wakoloni hawana akili ya maendeleo kama ya Bryceson, ndo maana nchi imefanywa kama shamba la bibi.
 
Tibaigana akisema tunahita Rais Dikteta wanasema akapimwe akili
 
afya yako bowlibo inaonesha ni kama uliishi enzi za mkoloni
 
Hapana Amavubi sikuishi enzi za mkoloni lakini wakoloni wa mwisho kuondoka niliwaona, ambapo nchi tayari ilikuwa imeshapata uhuru.

Kuondoka kwao kulitokana na kukosa sapoti toka serikali ya Nyerere, ilikuwa wakiweka program na master plan kwa maendeleo yetu, serikali inapanga tofauti (ignorance). Say if wanataka water pump ya kusogeza maji karibu na wananchi ili ule muda wananchi wanaotumia kutafuta maji mbali wautumie kuzalisha mali, serikali inakataa. Cost ya watu 500 kwenda kutafuta maji hailingani na cost ya pump moja na pipes (water project nzima) na mafuta ya kuiendesha ambapo wananchi hao wangefanya mambo mengine ya uzalishaji na kupata hela ya kulipia water bills. AS SIMPLE AS THAT.
 
Last edited by a moderator:
10689565_10203909680715165_4244877556878932701_n.jpg
​
Ni enzi za Mwalimu, aliitwa Derek Bryson, pichani ni wa kwanza kushoto. Alipata pia kuwa waziri wa kilimo na ushirika. Ni mwasisi wa mpango wa kutenga viwanja Sinza ikiwamo miundo mbinu kama vile mitaa, viwanja vya wazi na maji ya bomba, hata kabla watu hawajajenga. Derek pia ndiye aliyepelekea Shirika la Posta kufungua matawi Kinondoni, Ilala na Temeke.Alipata kutamka Bungeni; Ni ajabu mtu apande basi na kulipa nauli kutoka Kinondoni aende mjini kununua stempu yenye thamani sawa na nauli yake ya basi, kwanini asingenunulia Kinondoni na kuituma barua yake akiwa Kinondoni? Na majibu ya Posta na Simu ikawa ni kufungua matawi ya Posta wilayani...! (Picha hii ni kutoka kwenye kitabu cha Sir Andy Chande, Knight In Africa)
Good morning!
Maggid.(P.T)

Kama kumbu kumbu yangu haiendi alijojo, huyu wa upande wa kulia ni bwana Andy Chande
 
Tibaigana akisema tunahita Rais Dikteta wanasema akapimwe akili

Hatuhitaji dikteta ila Rais aangalie wale kitengo cha takwimu (statistics bureau) na economists waliopo vile wanavyopendekeza atekeleze. Mfano kila siku watu wanazaliwa na miji inakua kwa kasi, kwa nini kusiwe na mpango wa kutengeneza ramani za makazi mapema na ikibidi barabara zichongwe mapema kabisa kabla hata wananchi hawajahamia?
 
ama kweli weusi wetu unatugharimu sana....nilifika J'burg karibu nitoe machozi kwa uchafu ukilinganisha na hadhi ya mji, Zimbabwe mashamba yamebaki kama vichaka tu lahaulaaa.........asante kwa ufafanuzi
Hapana Amavubi sikuishi enzi za mkoloni lakini wakoloni wa mwisho kuondoka niliwaona, ambapo nchi tayari ilikuwa imeshapata uhuru.

Kuondoka kwao kulitokana na kukosa sapoti toka serikali ya Nyerere, ilikuwa wakiweka program na master plan kwa maendeleo yetu, serikali inapanga tofauti (ignorance). Say if wanataka water pump ya kusogeza maji karibu na wananchi ili ule muda wananchi wanaotumia kutafuta maji mbali wautumie kuzalisha mali, serikali inakataa. Cost ya watu 500 kwenda kutafuta maji hailingani na cost ya pump moja na pipes (water project nzima) na mafuta ya kuiendesha ambapo wananchi hao wangefanya mambo mengine ya uzalishaji na kupata hela ya kulipia water bills. AS SIMPLE AS THAT.
 
hadi tupate hisani ya wale watu wetu
Hatuhitaji dikteta ila Rais aangalie wale kitengo cha takwimu (statistics bureau) na economists waliopo vile wanavyopendekeza atekeleze. Mfano kila siku watu wanazaliwa na miji inakua kwa kasi, kwa nini kusiwe na mpango wa kutengeneza ramani za makazi mapema na ikibidi barabara zichongwe mapema kabisa kabla hata wananchi hawajahamia?
 
faizafox nikiangaliaga comments zako unafanana tu na hiyo miafrica
 
Last edited by a moderator:
sasa vp warudi tena kwa muda maalum ili watuletee maendeleo?
 
Back
Top Bottom