Ili iweje. Wakati makosa yote yanayofanyika Sasa hivi yeye ndie aliye asisi.
Jana tu nilikuwa naangalia hotuba yake na anakiri Kwamba katika makosa makubwa yaliyofanyika enzi zake ni dhambi ya ubaguzi na kudharau wengine, kama vile hao si watu na hawajui wala hawawezi chochote.
Ndio kama hayo yakudharau masalia ya wazungu ilhali walikuwa ni msaada mkubwa sana kwetu. Kuwanyanyapaa wenzake kama akina kambona, Titi na wengine wengi. Kupata uhuru kwangu mm hakumaanishi Kwamba wageni wote waondoke na ama wasishiriki uongozi kwenye nchi zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.