baki na uhalisia
Naam, nabaki na uhalisia wangu na tuukubali ukweli, tuko miaka 500 nyuma ya wenzetu walioendelea.
Ndiyo maana mpaka leo tunategemea wenzetu walioendelea, bila wao hatuwezi chochote.
Leo hii akija mgeni Tanzania ananeemeka kwa fursa ziliopo lakini sisi bado tunangoja tufanyiwe, eti kiongozi hajaleta maji, eti kiongozi hajaleta madawati, halafu utakuta hao hao wanaolia hawana madawati wanakata miti kuifanya mkaa!
Bado sana.
Hivi zungu ni mbunge wa kinondoni?
Itakuwa hivo
Mbunge wa magogoniNa idd Azan ni mbunge wa wapi?au viroba vinanivuruga sioni
Naam, nabaki na uhalisia wangu na tuukubali ukweli, tuko miaka 500 nyuma ya wenzetu walioendelea.
Ndiyo maana mpaka leo tunategemea wenzetu walioendelea, bila wao hatuwezi chochote.
Leo hii akija mgeni Tanzania ananeemeka kwa fursa ziliopo lakini sisi bado tunangoja tufanyiwe, eti kiongozi hajaleta maji, eti kiongozi hajaleta madawati, halafu utakuta hao hao wanaolia hawana madawati wanakata miti kuifanya mkaa!
Bado sana.
wewe ni raia wa wapi?

Mbunge wa Wazungu wa Unga sio MZUNGU TAJWA HAPO JUU