Mbunge wetu John Mnyika thubutu utatue kero ya maji jimboni mwako!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Mie mpiga kura wa Ubungo nachukua fursa hii adimu kukukumbusha ahadi yako kuwa utatatua kero ya maji mara utakapokuwa mbunge. Ni sekunde, dakika, saa, siku na miezi imepita haujafanya lolote la maana kukuhusiana na utatuzi wa kero ya maji jimboni mwako!!!! KULIKONI.

Kupitia JF nakuomba chonde chonde rejea kitabu chako cha AHADI, sie kazi yetu ilikuwa ni kukupa kura, nawe ni kutekeleza uliyoahidi.
Pia mbunge wetu uwe karibu na wapiga kura wote ACHA Ubaguzi wa kuwa karibu na wana magwanda tu. Kumbuka wewe ni mbunge wa wote,

Nawasilisha!!!
 
Hivi jukumu la kuleta maji Ubungo ni la Mnyika au waziri wa maji? We jamaa kweli kilaza, yaani badala ya kumlalamikia Mwandosya wewe unapiga makelele yasiyikuwa na tija. Bila aibu unamwambia Mnyika atimize AHADI ya kuleta MAJI Ubungo! Una akili kweli wewe?
 
Kwel mwita25 umebadilika au kuna mtu anatumia ID yako?huyo ana mtindio wa ubongo,kwa nini asimwambie waziri wa maji?
 
Hivi jukumu la kuleta maji Ubungo ni la Mnyika au waziri wa maji? We jamaa kweli kilaza, yaani badala ya kumlalamikia Mwandosya wewe unapiga makelele yasiyikuwa na tija. Bila aibu unamwambia Mnyika atimize AHADI ya kuleta MAJI Ubungo! Una akili kweli wewe?

Mwita25 kumbe hujaokoka..

Ni suala la kiungwana kumkumbusha mbunge arejee kitabu chake cha ilani ya uchaguzi. Maji ubungo inafahamika ni tatizo la mda mrefu, na Munyika aliahidi kulitatua. Kazi anayotakiwa kuifanya Munyika, ni lobying and advocacy kwa jambo hili. Kama hatasikilizwa, anaweza kutafuta mbinu atakayoona inafaa ili wapiga kura wake wa pale ubungo wapate nafuu kitu ambacho CCM hawakuwahi kufikiria kukifanya tangu uhuru.

Nakumbuka 2009, kuna mradi wa maji ulikuwa unatekelezwa, tulikuwa tukiita mabomba ya wachina. Lengo la CCM, ilikuwa kuuzindua wakipata kiti cha ubungo, waliposhindwa, wameutelekeza. Munyika anaweza akatumia fursa hiyo, akaijenga historia.
 
Hivi jukumu la kuleta maji Ubungo ni la Mnyika au waziri wa maji? We jamaa kweli kilaza, yaani badala ya kumlalamikia Mwandosya wewe unapiga makelele yasiyikuwa na tija. Bila aibu unamwambia Mnyika atimize AHADI ya kuleta MAJI Ubungo! Una akili kweli wewe?
What was the objective of decentralization?
He has all the rights as a resident of his constituency, and as a taxpaying citizen of the republic. We ask our representatives, and they(reps) ask the central govt/LGA..... it's not rocket science.
 
Sasa kama alikuwa hawezi kwanini aliahidi? wanafaki wa CDM humu JF wanawatetea wabunge njaa kuwa wao sio kazi yao ya kuleta huduma ni kazi ya serikali, hao wabunge wenu mbona walitua ahadi hizi?
 
mbona kuna kipindi niliona post humu kuwa mnyika amewaambia dawasco wasipoleta maji watu wanaandamana kwa hiyo ilikuwa ni uongo? na hilo swala la maji mi naona ungemtumia kwenye facebook maana humu mauzulio yake sio mazuri sana..
 
Hivi jukumu la kuleta maji Ubungo ni la Mnyika au waziri wa maji? We jamaa kweli kilaza, yaani badala ya kumlalamikia Mwandosya wewe unapiga makelele yasiyikuwa na tija. Bila aibu unamwambia Mnyika atimize AHADI ya kuleta MAJI Ubungo! Una akili kweli wewe?
kwanini alitoa ahadi ya kuwaletea maji. Inakuaje mbunge ana ahidi mambo nje ya makumu yake... Au ilikuwa danganya toto?
 
hii ndio faida ya kuchagua vijana mishen town.
 
kwanini alitoa ahadi ya kuwaletea maji. Inakuaje mbunge ana ahidi mambo nje ya makumu yake... Au ilikuwa danganya toto?
Mzee sasa hivi utasikia watakuja na ile nyimbo yao "kwani ccm wametekeleza ahadi zao"
 
Vichwa,
Lazima muelewe kuwa wakati wa kampeni Mbunge hutoa ahadi akiwa na malengo mawili ya yeye kuchukua jimbo na chama chake kuchukua nchi. Mnyika nae ni hivyohivyo ameweza moja jingine hakuweza na hili alilolishindwa ndio linalokwamisha hizo ahadi. Bila kuwa na acceess na control ya mafungu ya nchi ni vigumu kutimiza ahadi za kisiasa. Namsfiu hata hivyo kwa jitihada za kushinikiza DAWASCO.
 
kwanini alitoa ahadi ya kuwaletea maji. Inakuaje mbunge ana ahidi mambo nje ya makumu yake... Au ilikuwa danganya toto?

Kazi ya mbunge ni kufuatilia utekelezaji wa serikali na siyo kuleta maendeleo yeye kama yeye. Sasa ukishangaa ya Mnyika je ukisikia ya JK ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai si utazimia kabisa? Na huyo ndiyo yupo kwenye maamuzi ya juu!
 
Mie mpiga kura wa Ubungo nachukua fursa hii adimu kukukumbusha ahadi yako kuwa utatatua kero ya maji mara utakapokuwa mbunge. Ni sekunde, dakika, saa, siku na miezi imepita haujafanya lolote la maana kukuhusiana na utatuzi wa kero ya maji jimboni mwako!!!! KULIKONI.

Kupitia JF nakuomba chonde chonde rejea kitabu chako cha AHADI, sie kazi yetu ilikuwa ni kukupa kura, nawe ni kutekeleza uliyoahidi.
Pia mbunge wetu uwe karibu na wapiga kura wote ACHA Ubaguzi wa kuwa karibu na wana magwanda tu. Kumbuka wewe ni mbunge wa wote,

Nawasilisha!!!

Nahisi wewe si mkazi wa kata ya Kimara. Kwa taarifa yako, baada ya mradi wa Wachina kuwaengua wakazi wa Kilungule mbunge Mnyika alikuja na wazo la kuchimba visima vya kisasa ambapo tayari ukienda maeneo ya Kilungule shule ya msingi kuna Distribution centre yenye uwezo wa kuhifadhi lita 20,000 kwa ajili ya wakazi wa eneo hilo. Tatizo halijaisha lakini kuna juhudi fulani imefanyika.
 
Hivi jukumu la kuleta maji Ubungo ni la Mnyika au waziri wa maji? We jamaa kweli kilaza, yaani badala ya kumlalamikia Mwandosya wewe unapiga makelele yasiyikuwa na tija. Bila aibu unamwambia Mnyika atimize AHADI ya kuleta MAJI Ubungo! Una akili kweli wewe?

Mwita25 nakubali kuwa toka utoke igunga umechanganyikiwa.
 
mimi nilitoka church nikaenda kupiga kura nikijua walau mambo yatakuwa shwari
lakini sijaona lolote au ni mapema sana sijui, navuta subira tena.
 
Vichwa,
Lazima muelewe kuwa wakati wa kampeni Mbunge hutoa ahadi akiwa na malengo mawili ya yeye kuchukua jimbo na chama chake kuchukua nchi. Mnyika nae ni hivyohivyo ameweza moja jingine hakuweza na hili alilolishindwa ndio linalokwamisha hizo ahadi. Bila kuwa na acceess na control ya mafungu ya nchi ni vigumu kutimiza ahadi za kisiasa. Namsfiu hata hivyo kwa jitihada za kushinikiza DAWASCO.

Mnyika baada ya kuwa Mbunge aliitisha Kongamano la lililowahisisha Wadau Mbalimbali wa Jimbo la Ubungo, lengo likiwa ni Kubrainstorm nini Kifanyike ili kuweza kuondoa Tatizo la Maji. Kwangu mimi that was a Scientific approach ambayo ni sahihi kabisa katika kumaliza Matatizo mbalimbali yanayotukabili " Yaani kwanza tukae bila kujali viwanngo vya Elimu vyetu tujadili Matatizo yetu na Tupendekeze Njia za Kuyatatua".

Ikumbukwe kwamba Mnyika si Mkurugenzi wa Dawasco lakini katika Kongamano hilo Walialikwa Watu wa DAWASCO lakini " Kwa Sababu Kongamano liliandaliwa na Mbunge kutoka Kambi ya Upinzani" Jamaa wa DAWASCO HAWAKUTOKEA na Hata walipopelekewa Ripoti ya Mapendezo ya Kongamano hilo " Kwa Sababu tu Ripoti ilitokana na Kongamano lililoitishwa na Mbunge kutoka chama cha Upinzani" Jamaa wa DAWASCO wakaiweka Kapuni.

Nadhani ingekuwa Fair kumuuliza Mnyika juu ya yaliyojadiliwa pale Chuo cha Maji na Kama DAWASCO wamedharau Mapendekezo ya Wadau waliokusanyika na Kutoa Mawazo yao ni anapanga Kukifanya
 
mimi nilitoka church nikaenda kupiga kura nikijua walau mambo yatakuwa shwari
lakini sijaona lolote au ni mapema sana sijui, navuta subira tena.

Mnyika baada ya kuwa Mbunge aliitisha Kongamano la lililowahisisha Wadau Mbalimbali wa Jimbo la Ubungo, lengo likiwa ni Kubrainstorm nini Kifanyike ili kuweza kuondoa Tatizo la Maji. Kwangu mimi that was a Scientific approach ambayo ni sahihi kabisa katika kumaliza Matatizo mbalimbali yanayotukabili " Yaani kwanza tukae bila kujali viwanngo vya Elimu vyetu tujadili Matatizo yetu na Tupendekeze Njia za Kuyatatua".

Ikumbukwe kwamba Mnyika si Mkurugenzi wa Dawasco lakini katika Kongamano hilo Walialikwa Watu wa DAWASCO lakini " Kwa Sababu Kongamano liliandaliwa na Mbunge kutoka Kambi ya Upinzani" Jamaa wa DAWASCO HAWAKUTOKEA na Hata walipopelekewa Ripoti ya Mapendezo ya Kongamano hilo " Kwa Sababu tu Ripoti ilitokana na Kongamano lililoitishwa na Mbunge kutoka chama cha Upinzani" Jamaa wa DAWASCO wakaiweka Kapuni.

Nadhani ingekuwa Fair kumuuliza Mnyika juu ya yaliyojadiliwa pale Chuo cha Maji na Kama DAWASCO wamedharau Mapendekezo ya Wadau waliokusanyika na Kutoa Mawazo yao ni anapanga Kukifanya
 
Kazi ya mbunge ni kufuatilia utekelezaji wa serikali na siyo kuleta maendeleo yeye kama yeye. Sasa ukishangaa ya Mnyika je ukisikia ya JK ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai si utazimia kabisa? Na huyo ndiyo yupo kwenye maamuzi ya juu!

kwanini aliwadanganya wananchi?. Why?!!.

Aliwaambia wananchi wake atalimaliza tatizo la maji. Atalimaliza vipi, kama sio jukumu lake!
 
Angelimaliza hivi

Back
Top Bottom