Hii habari kuielewa inabidi usome kwa pupa.POLISI WAWAKAMATA VIONGOZI WA CHADEMA NA KUSHIKILIA VYOMBO VYAO
Hata hivyo wafanyabiashara wameokoa jahazi kwa kumpa Mbunge vipaza sauti ili aendelee na mkutano na alifanya hivyo.
Hivi hawa Polisi wa wapi lakini?!!! Unapiga marufuku mkutano kwa simu??!!!!
Hii habari kuielewa inabidi usome kwa pupa.
Ukiwa makini huwezi.
Hapa ndipo huwa napata kichefuchefu nikisikia kuwa tunafuata utawala wa kisheria. sheria gani watu wamegeuza ubungo nzima kuwa soko?Polisi wa Urafiki vp? Sisi huku Kilungule na king'ong'o mpaka msakuzi hata bia hatunywi majambazi nje nje hawaji kuwakamata wanahangaika na wahubiri...?
Wangeanza na madereva wakorofi hapo Ubungo na machinga wanaoziba njia na. vibaka pale Songas darajani tungewaelewa
Mkuu hata mimi nimepata mkanganyiko hapo! Ina maana hao polisi hawakuwa na nia ya kuzuia mkutano nia yao ilikuwa vyombo na vipeperushi? Hata hivyo masuala ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni kukengeusha demokrasia hapa nchini. polisi wapambane na uhalifu umbao inafanyika waziwazi siku hizi
Ubungo matukio kama haya yanahitaji picha ziwekwe hapa.
Uonevu mpaka lini, mimi nina waomba viongozi wangu wa CDM watupatie silaha vijana, tuwaonyeshe jinsi ya kuzitumia na ndipo tutakapo jua kama intelejensia ina saidia ama lah...inabidi sasa tuingie polini demoklasia hawaiwezi ccm.
inabidi sasa tuingie polini demoklasia hawaiwezi ccm.
pole sana mkuuWhy do we always question our intelligence?lets start being positive,i still have faith with IGP Mwema.
Hivi kwa nini serikali yetu inaishi maisha ya woga namna hii? Sasa inawaogopa mpaka wananchin wake!
Naunga mkono hoja. Heading inasema.....'anyimwa na polisi'...... kwa kweli sijaelewa.Tumuombe mtoa habari awe serious habari za kusema kama anakimbilia kunanana kwenye mlango wa daladala hapa si mahali pale kwa kweli .