Mbunge wa Ubungo John Mnyika anyimwa na polisi kufanya mkutano

Katika hizi shuhuli za miaka 50 ya uhuru wa bendera na ktk ila mechi ya simba na yanga Alshabaab waliwapa taarifa polisi kuwa hawatafanya shambulio that why polisi haijazuia mikusanyiko hiyo kufanyika.

Mi nafikiria sherehe za eid kesho itabidi ziahirishwe maana alshabaab sijui kama wametoa ruksa, na pia itabidi tusifanye mikutaniko ya ibada
 
.......serikali yetu, ndo hii, hii inayoongozwa na Chama cha Mapindunzi , yaani CCM, inaogopa kivuli chake, hapa hamna cha Al shabab wala mjomba wa Al Shabab, Al Shabab ni kujadili huo Muswada, Muswada wa Katiba mpya, hawataki wananchi waelewe na ama kueleweshwa, wakati umefika, hawawezi kuzuia mwanga kwa kufumba macho....hao ndio polisi wa CCM, Wenye intelijensia isio intelijensia, kazi kwetu
 
.........Al Shabab walikuwa na shida ya kulipua watu ama vipaza sauti? Badala wao watawanye watu wakabeba vipaza sauti,mbona amehutubia bila vipaza sauti mambo shwari tu? hii sio bongo tena ni masaburi
Lazma tuheshimu tahadhari zinazotolewa.
 
na nina uhakika John Mnyika hawezi kujaza watu wengi kama simba na Yanga....
CDM haipo kwenye mashindano ya kujaza watu, ndiyo maana haitumii magari kuwabeba watu kuwakusanya wala kuandaa wasani. Bajeti ya kufanya mikutano na maandamano haihitaji kutumia fedha za ruzuku wala michango ya mafisadi. Unajua bajeti ya mkutano mmoja wa Magamba?. Mtafute nepi au yule mbunge anaetumia pesa ya kampeni kutafuna wa wenzie.
 
Polisi wamepiga simu kwa viongozi wa Chadema Ubungo kuzuia mkutano wa hadhara wa mbunge wa kueleza kazi za mbunge kwa mwaka mmoja pamoja na kupokea maoni ya wananchi kuhusu muswada wa katiba mpya usifanyike.

Sababu walizotoa polisi kwa simu ni kuwa kuna tishio la Alshabab. Polisi walipewa taarifa ya mkutano toka tarehe 3 wakakumbushwa tena tarehe 4 lakini hawakujibu.

Taarifa ndani ya Chadema zinasema kwamba mbunge ameamua kuendelea na mkutano kama kawaida kwa kuwa hakuna katazo la maandishi lililotolewa na polisi.

Mkutano unatarajiwa kuanza saa 10 jioni eneo la Ubungo mwisho pembeni ya stand ya daladala karibu na Yenu Bar.

Update

polisi yakamata gari na kuchukua nyaraka za katiba pamoja na viongozi wa chadema ubungo. Waweka rumande. Mnyika aendelea na mkutano bila vipaza sauti na kuzungumza na wananchi. Wananchi walaani hatua ya polisi, waamua kwenda na mbunge kituo cha polisi kuwatoa waliokamatwa na kudai nyaraka zilizochukuliwa

Mechi kubwa ya YANGA na SIMBA iliyokusanya watanzania toka pande zote za Tanzania imefanyika pale uwanja wa Taifa hawakuisimamisha kwasababu ya tishio la Al-shabaab...leo hii mkutano wa Mbunge kuongea na wananchi wake ndani ya jimbo la uchaguzi wanadai kuna tishio...Hivi mpaka lini watanzania tutaendelea kudanganywa kama watoto na kukubali kirahisi namna hii? Ifikie kipindi tuseme no!! kwa ujinga huu jamani lol!!
 
Lazma tuheshimu tahadhari zinazotolewa.

Acha kutetea uharo wewe!! Tahadhari zipi zimetolewa hapo? yaani unatufanya watanzania wajinga sana? Mbona mechi za ligi zinajaza watu na hakuna tishio la Al-shabab? Usizifanye akili zako zikawa tahahira mkuu....jaribu kujifikirisha kidogo...
 
Why do we always question our intelligence?lets start being positive,i still have faith with IGP Mwema.

How can you have faith in somebody who is full of double standards? He can't be trusted one bit. Now they are covering up their stupidity and double standards behind Al-shabab.
 
sasa jeshi la polisi limepata jibu la sintofahamu yao waliyodumu nayo kwa kitambo. Ni kama vile walikuwa wakisubiri yai wasilolijua lipasuke wajue ni kiumbe gani kilicho ndani yake. Kwa hiyo zile taarifa za kiintelijensia zimezaa jibu la tishio la al shabab. Na bado mtakapozidiwa zaidi mtakuja na fumbo jingine. Inakuwaje kenya wanafanya juhudi za kuwafukuzia mbali hao jamaa na serikali yetu inalaani, kisha inalalama kupitia vyombo vya usalama kuwa kuna tishio la magaidi? Kwa taarifa yenu nyie POLISI, magaidi ni hao magamba
 
Irrelevant argument since government of Tz and its people do not seem to fear each other but we are all fearing the common foe Al-Shabaab.

it is very relevant. the government of tz fears its people, tena wamepata hiyo Al-Shabaab ndo itakua kisingizio maana zamani walikuwa wanasema taarifa za kiitelejensia zinaonesha mkutano haustahili! sasa kama sio kuogopa watu wake ni nini? Serikali ndo inajeshi na intelejensia inaona hakuta kuwa na amani kwa wasipange washike hao magaidi badala yake ni uonevu tu kwa raia wema ambao hawana hatia.
 
Polisi wamepiga simu kwa viongozi wa Chadema Ubungo kuzuia mkutano wa hadhara wa mbunge wa kueleza kazi za mbunge kwa mwaka mmoja pamoja na kupokea maoni ya wananchi kuhusu muswada wa katiba mpya usifanyike.

Sababu walizotoa polisi kwa simu ni kuwa kuna tishio la Alshabab. Polisi walipewa taarifa ya mkutano toka tarehe 3 wakakumbushwa tena tarehe 4 lakini hawakujibu.

Taarifa ndani ya Chadema zinasema kwamba mbunge ameamua kuendelea na mkutano kama kawaida kwa kuwa hakuna katazo la maandishi lililotolewa na polisi.

Mkutano unatarajiwa kuanza saa 10 jioni eneo la Ubungo mwisho pembeni ya stand ya daladala karibu na Yenu Bar.

Update

polisi yakamata gari na kuchukua nyaraka za katiba pamoja na viongozi wa chadema ubungo. Waweka rumande. Mnyika aendelea na mkutano bila vipaza sauti na kuzungumza na wananchi. Wananchi walaani hatua ya polisi, waamua kwenda na mbunge kituo cha polisi kuwatoa waliokamatwa na kudai nyaraka zilizochukuliwa

Na yeye asituzingue. Mbona huku kwetu barabara ni makorongo tu?
 
Al-shabab, Al-shabab, Al-shabab.............. Imeshakuwa kisingizio cha kila k2.
 
Back
Top Bottom