Mbunge wa Mbalizi (CCM) mbaroni kwa tishio la mauaji

Huko CCM kumbe kila Mbunge ana silaha ? Mbona ni hatari sasa hadi kutaka kuwaua wenzao ?
 
Mambo si shwari ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) jimbo la Mbarali mkoani Mbeya baada ya mbunge wa jimbo hilo Mheshimiwa Dickson Kilufi kukamatwa na jeshi la polisi na kusindikizwa mjini Mbeya kwa ulinzi mkali jioni hii.
Mbunge huyo amekamatwa na jeshi la polisi mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kutishia kuua kwa bastola .

Imedaiwa kuwa mtego wa kumnasa mbunge huyo uliwekwa na jeshi la polisi mapema leo na kufanikiwa kumnasa mbunge huyo na kumpeleka polisi kwa ulinzi mkali na hadi sasa yupo chini ya ulinzi wa polisi
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Advocete Nyombi amethibitisha kuwa ni kweli mbunge huyo yupo chini ya mikono ya sheria kwa tuhuma za kutishia maisha​
 
Ni kutoka TBC1 habari.Mbunge wa mbalizi CCM anashikiliwa na polisi tangu saa tisa alasiri kwa kosa la kutishia kumuua afisa mtendaji wa kata.

Huyo afisa mtendaji utakuta anarudisha nyuma maendeleo, kamkasirisha jamaa. Mie nasema hivi ndivyo inavyotakiwa, akiiba mali ya umma, piga risasi, akipokea rushwa piga risasi, akitowa rushwa piga risasi lakini itungiwe sheria sio ki jazba tu.
 
Afadhali umeanza kupata akili! Tukipitisha sheria kama hiyo mafisadi magamba wataisha maama wote wataishia kula shaba!
 
Huyo afisa mtendaji utakuta anarudisha nyuma maendeleo, kamkasirisha jamaa. Mie nasema hivi ndivyo inavyotakiwa, akiiba mali ya umma, piga risasi, akipokea rushwa piga risasi, akitowa rushwa piga risasi lakini itungiwe sheria sio ki jazba tu.

vizuri sana hii sheria ije..maana nina uhakika mwinyi, mkapa,kikwete,rostam,lowasa nk tutaanza nao
 
Huyo afisa mtendaji utakuta anarudisha nyuma maendeleo, kamkasirisha jamaa. Mie nasema hivi ndivyo inavyotakiwa, akiiba mali ya umma, piga risasi, akipokea rushwa piga risasi, akitowa rushwa piga risasi lakini itungiwe sheria sio ki jazba tu.

FF ninavyojua ndani ya CCM hakuna hata mmoja atakaemshikia bunduki mwenzake eti kwa sababu anakwamisha maendeleo ya wananchi. Haya yanatokea pale tu unapokatiza katika interest zake na mara zote unamzuia asifanye ufisadi au kuvumbua maovu yake. CCM hawapo kwa ajili ya wananchi bali kwa manufaa binafsi tu!
 
Ingekuwa Tabora wala nisingetaka kujua jina lake,ningejua ni yule mwenye jna la mboga lkn herufi za mwisho yaani Maha.......mzee wa pisto.
 
Huyo afisa mtendaji utakuta anarudisha nyuma maendeleo, kamkasirisha jamaa. Mie nasema hivi ndivyo inavyotakiwa, akiiba mali ya umma, piga risasi, akipokea rushwa piga risasi, akitowa rushwa piga risasi lakini itungiwe sheria sio ki jazba tu.

Kwa hiyo alivyofanya huyo muwakilishi wa wananchi..sheria ilishatungwa ehh? au?
Halfu huo ni utawala gani wa kupiga watu risasi?
 
Ni kutoka TBC1 habari.

Mbunge wa Mbalizi CCM anashikiliwa na polisi tangu saa tisa alasiri kwa kosa la kutishia kumuua afisa mtendaji wa kata.

we ni gamba kweli nani amekwambia kuna jimbo linaitwa mbalizi...km hujui ramani ya nchi na siasa unawashwa nini,si ulale!af unatoa tarifa nusu nusu,hufai kuwa great thinker ww.
 
Huyo afisa mtendaji utakuta anarudisha nyuma maendeleo, kamkasirisha jamaa. Mie nasema hivi ndivyo inavyotakiwa, akiiba mali ya umma, piga risasi, akipokea rushwa piga risasi, akitowa rushwa piga risasi lakini itungiwe sheria sio ki jazba tu.

Ikiwa hivyo afisadi itabaki ni historia.
 
Hakuna jimbo linaloitwa mbalizi apa duniani wewe,acha tabia zako za kimagamba.toa tarifa ilokamilika uskurupuke au unawashwa.
 
Kwa hiyo alivyofanya huyo muwakilishi wa wananchi..sheria ilishatungwa ehh? au?
Halfu huo ni utawala gani wa kupiga watu risasi?

Sheria ya kubeba bastola ipo na ilishatungwa na yeye yupo Polisi atajibu huko kama ana makosa atapelekwa kwa "kutishia" kuuwa mahakamani. Soma vizuri post yangu unielewe.
 
Back
Top Bottom