Mmeua Ilemela, mmeua Igunga, mliua Kombe, Shija, KOLIMBA, SOKOINE, Baba wa Taifa, na wale unaowajua NI WAUAJI PERIOD. Ila kila muuaji na yeye atakufa
Pipooooz power! source: amplifaya ya milard ayo.
Kama hizi habari ni za kweli, japo siziamini.. Namuonea huruma kwa kwenda Chama kisicho na dira. Kinachoendeleza siasa za kuzungumzia watu.
Wa Jikoni upo? Naamini ni habari za Jikoni
Kilufi you are most welcome to the ever best and couragous political party. Ningependa sasa wafuatao wasichelewe kujiunga. Ole Sendeka, Mkosamali, Kafulila, Machali, Kilango, Lembeli, Kigwangala.
Habar ya jikoni huwa haina status ya 'tetesi'.
mbona tunashangilia hata majambazi yakihamia chadema.... au sio
huyu sio yule aliyewekwa ndani kwa kutishia kuua?