Kwani huyo Kafumu ni chadema? 7Huyo ni fisadi mbunge wa CCM asiye na haya kafisadi wee hakadakwa si angekaa atulie?Takukuru chini ya Brigedia John Mbung'o wamepewa meno zaidi kwa Wapinzani! Kwa maCCM Takukuru ni kikundi cha Futuhi.
Hao takukuru wanacheza siasa nyepesi. Ukiona mtu wa ccm anasumbuliwa na takukuru, ujue sio kwa sababu ya kutoa rushwa kwani wanaccm wote wanatoa rushwa, ila ujue huyo haaminiki kuwa atakubali hoja ya kumuongezea muda Magufuli ya kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
Hao takukuru wanacheza siasa nyepesi. Ukiona mtu wa ccm anasumbuliwa na takukuru, ujue sio kwa sababu ya kutoa rushwa kwani wanaccm wote wanatoa rushwa, ila ujue huyo haaminiki kuwa atakubali hoja ya kumuongezea muda Magufuli ya kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
TAKUKURU malizeni pia bilioni 15 za kangi,Jiwe bilioni 5 Ndugai milioni120Takukuru malizeni Kwanza suala Chadema kuhusu mwenyekiti kula. 8.9 bl mtoe majibu. Siyo kurundika tuhuma nyingi bila majibu.
Wale ni chaguo la mwenyekiti. Hawawezi kuguswaWanamuonea mzee wa watu wangapi wanatoa rushwa hawakamatwi,Tulia ametoa ngapi mbeya,kigwangala mbona hatusikii kukamatwa
Huyo nae ni jinga tu,anajua kabisa yeye na wakina Vicky kamata wote hawatakiwi na walishakua kwny soo ila bado wanajipendekeza tu,acha aliwe kichwa.Wanamuonea mzee wa watu wangapi wanatoa rushwa hawakamatwi,Tulia ametoa ngapi mbeya,kigwangala mbona hatusikii kukamatwa
wanamsubiria kipindi Cha kampeni hao Ila dunia hupinduka wasije staajabu upepo ukawa wa Moto kwao wenyeweTakukuru malizeni Kwanza suala Chadema kuhusu mwenyekiti kula. 8.9 bl mtoe majibu. Siyo kurundika tuhuma nyingi bila majibu.
Jarida la Sani lilikuwa moto sana kipindi kile...timbwili la Zena na Betina halikuwa la kitoto hata kidogo. Nakumbuka pia tamthiria za picha (kabla ya katuni kupamba moto baadaye) wakati huo akina Belinda na wenzake!!!....Betina...
Hivi Betina akiugua corona anaweza pona kweli? Namchukia hataree hasa boss wake aliyetumia bil 29 kutibu maradhi yasiyojulikanaMbona Betina haguswi? Bytheway, mambo ya CCM sio ya kuamini hata kidogo
Hahhaahaa tuwapende tu bila kuwachukiaHivi Betina akiugua corona anaweza pona kweli? Namchukia hataree hasa boss wake aliyetumia bil 29 kutibu maradhi yasiyojulikana
Wanasubiri maelekezo kutoka BurigiTakukuru malizeni Kwanza suala Chadema kuhusu mwenyekiti kula. 8.9 bl mtoe majibu. Siyo kurundika tuhuma nyingi bila majibu.