Mbunge wa CHADEMA ataka wananchi waiamini CCM!!

Tofauti yake ni ipi katika majukumu ya kazi yake yanayoleta neno Mbunge.
Tofauti kufahamu mbona simple sana ndugu yangu?! Ukiletewa watu wawili halafu ukaambiwa, mmoja kati ya hawa ni Mzaramo kutoka Maneromango na Mwingine sio Mzaramo kisha akapaewa assignment umtambue Mzaramo kati ya hao ni yupi! Wala usipate taabu, chukua ngoma hata ya makopo, kisha anza kupiga! Mzaramo anatambulika kwa mahaba yake ya ngoma!
 
Mnampiga mwigamba mnamuacha shibuda think twice hapa!
 
Nilidhani angetangaza kuhamia huko kabisa ili umakini wake katika maamuzi udhihirike

Wanachadema tuendeleze mapambano na kuwapuuza wale wanafiki wanaotaka kututoa kwenye ajenda muhimu.
 
Shibuda alipaswa kuwa mgombea binafsi.Ni sheria tu ndio ilimlazimisha mtu atafute chama cha kuvukia japo hana imani na chama hicho.
 
CCM sifa kama hizo ndo wanazihitaji; lakini zingetoka kwa timamu ningekuwa na mashaka zaidi!
 
Nilidhani angetangaza kuhamia huko kabisa ili umakini wake katika maamuzi udhihirike

Wanachadema tuendeleze mapambano na kuwapuuza wale wanafiki wanaotaka kututoa kwenye ajenda muhimu.

Huyu "Mnafiki" hatumpigi?
 
Tofauti kufahamu mbona simple sana ndugu yangu?! Ukiletewa watu wawili halafu ukaambiwa, mmoja kati ya hawa ni Mzaramo kutoka Maneromango na Mwingine sio Mzaramo kisha akapaewa assignment umtambue Mzaramo kati ya hao ni yupi! Wala usipate taabu, chukua ngoma hata ya makopo, kisha anza kupiga! Mzaramo anatambulika kwa mahaba yake ya ngoma!
Pamoja na kwamba hukuwezi kuingia ndani ya swali langu na kuipata mantiki ya swali langu, labda niboreshe swali langu kwa kuuliza tena.

Tofauti ya ngoma inayopigwa kisiasa katika utendaji kati CHADEMA na CCM na hasa wabunge katika majukumu yao kisheria.
 
Shibuda ni mpuuzi fulani tu,by the way huyo si mbunge wa CDM ni mfuasi wa LB7 FC.
 
naiomba serikali yetu sikivu iige huu mfano wa kuigwa wa chadema kumpuuza mpuuzi shibuda kwa kuwapuuza kagame,mu7 na kenyata kwa upuuzi wao wanaoufanya kwenye jumuia ya eac.
 
BAADA YA KUSOMA HEADING NIKAJUA TU NI LILE NDUMILAKUWILI,pandikizi lililoshindwa kuisambaratisha CDM
 
Pamoja na kwamba hukuwezi kuingia ndani ya swali langu na kuipata mantiki ya swali langu, labda niboreshe swali langu kwa kuuliza tena.

Tofauti ya ngoma inayopigwa kisiasa katika utendaji kati CHADEMA na CCM na hasa wabunge katika majukumu yao kisheria.
Kwangu mimi hakuna tofauti! Wabunge wa CCM na wa CHADEMA; wote ni wale wale tu; CCM au CHADEMA wote hawa ni one and the same, mmoja ni HEROIN na mwingine ni COCAINE....wote ni illegal drugs! Mmoja huku ataitwa chang'aa na kule ataitwa Gongo; lakini kumbe ni wale wale tu!! Tofauti kubwa ni kwamba huyu yupo jikoni anajipakulia apendavyo na mwingine yupo on transit kuingia jikoni ili akafanye kama mwenzake!

Hata hivyo, wapo wachache sana ambao wanaweza kuonekana kwamba ni bora lakini wengi zaidi katika hao wachache zaidi wataonekana ni bora kwavile tu ni wazuri katika ku-manipulate akili za Watanzania!! Hao ndio wale ambao hapa wamekuwa wakionekana ndo kama Wakombozi wa Kweli wa nchi hii; kumbe miongoni mwao kuna Nabii Mussa na upande wa pili kukiwa na Joshua; wote hawa wakiwa na lengo la kutufikisha kwenye Nchi ya Ahadi; nchi inayotiririka maziwa na asali! Thanks god, mimi si miongoni mwa wale wanaoweza kudanganywa kirahisi!

Hivi sasa nimekujibu? Au bado tu mkuu wangu?! Kama bado sijakujibu basi akili yangu mzito; SIELEWI MASWALI YA ki-GT!
 
Kama Mbunge mwenyewe ni Shibuda hakuna shida....! Mwacheni amalizie huu muda wake tu..
 
Mkuu, Swali langu umelijibu vizuri na hii ndiyo ilikuwa mantiki katika swali langu na kwa maana hiyo, huwa ninawashangaa sana watu wanaopiga kelele wakidai John Shibuda awaachie chama chao na aende kwenye chama kingine kama vile kuna tofauti ya msingi kati ya Vyama vya Siasa Tanzania zaidi ya "In waiting".
 
Ungesema Shibuda tu ktk heading yako sio mbunge wa CDM. Wote tunamfaham huyo mheshimiwa alivyo ndumila kuwili,hatushangai!!
 
Back
Top Bottom