Mbunge wa CHADEMA ataka wananchi waiamini CCM!!

...Ila Shibuda ni gangwe, Hapo CHADEMA hakuna wa kumnyanyulia mdomo. Keep it up Shibuda, tunahitaji wabunge wengine mia, majasiri kama wewe!
Akili yako imekaa kimsalani, napata taabu sana kuamini kama zaidi ya kujua kusoma na kuandika unacha zaidi!
 
Alishawahi kunena hata Mwenyekiti wenu Mbowe kuwa hajawahi kuona Rais bora na mchapakazi Kama JK na kumwagia sifa kibao lakini hitimisho lake kwa wanachama ati Mbowe ni MSALITI!

Hivi CDM mnaumwa ugonjwa gani? Kila mtu akisifia CCM ati msaliti na ndumilakuwili! Hata Slaa mlishawahi kumnanga humu humu JF!

Upinzani si kukosoa kila kitu ni kusema ukweli kwa Yale yanayofanyika na kusema NO kwa Yale yasiyofanyika! Tumefundishwa kuafikiana na kutofautiana!
Kimoyo moyo machadema wengi wanaipenda sana ccm ila machoni ni wanafiki ndio mana ht slaa anailipia kadi ya ccm hadi leo
 
Hapo umekosea sana Shibuda amewavulia sana nyie na huo ukabila wenu amejionea mwenyewe ni jinsi gani Chadema kisivyo na mwelekeo.

Haya sasa ni matusi kwa nini unaamua kumdhalilisha kiasi hiki huyu Shibuda, hata kama anafanya mambo ya kijinga kumtukana si sahihi
 
Hapo umekosea sana Shibuda amewavulia sana nyie na huo ukabila wenu amejionea mwenyewe ni jinsi gani Chadema kisivyo na mwelekeo.

Kwa hiyo ulitaka AKUVULIE wewe? Una wivu wa kike sanaee?
Shibuda kumbe huu ndio mchezo wake wa kuvulia watu nanihii yake?
Alijipendekeza Cdm akaingia kichwa kichwa,ndio maana ametuvulia na akapasuliwa hiyo ngogwe yake.
 
Jamani Kumbe mtu mwenyewe ni John Magale Shibuda....

Nilidhani ni mtu mwingine.. SHIBUDA ni mtu mchumia tumbo.. Tunasubiri kumwondoa huku kwetu Maswa magharibi hapo mwaka 2015 maana anafaa kwenda kuimba taarabu na sio kutumikia wananchi wa Maswa.
HOPELESS SHIBUDA
 
Na mwandishi Stephen Beligeya Dodoma;

Mbunge wa Maswa Magharibi [CHADEMA] John Magale Shibuda,amemwagia sifa katibu mkuu wa CCM Abdrahaman Kinana,kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi mtendaji,makini na mchapa kazi na msikivu ktk kushughulikia kero za wananchi.
Pia alisema kuwa Ccm ni chama sikivu na makini ktk kusikiliza kero za wananchi hivyo kuwataka wananchi kuwa na imani nacho ili matatizo mbalimbali yanayowakabili yaweze kutatuliwa,kauli hii ya Shibuda ambae ni mwana siasa makini na muwazi aliitoa mjini Dodoma.

Alisema inapokuja swala la maendeleo na uzalendo kwa taifa,hapo ndipo inapo dhiirisha namna na jinsi CCM na serikali yake inavyotimiza wajibu ktk kuwatumikia wananchi wake bila kujali itikadi.
Hayo aliyaeleza ktk mkutano wa pamoja kati ya wawakilishi wa wafugaji kutoka wilaya mbalimbali ktk mkoa wa Dodoma,Mbeya na Morogoro ulioandaliwa na Kinana kwa ajili ya kusikiliza kero zonazowakabili.

Shibuda alisema kuwa Kinana amekuwa kiongozi Hodari makini na mchapa kazi,hivyo kuwataka wafugaji hao kuwa na imani nae.

Chanzo: Gazeti la Uhuru!

Shibuda ni njaa kali na ulafi wa madaraka unamsumbua anastahili kusamehewa bure!!!!!!!
 
Kwanza, chanzo cha habari ni gazeti la Uhuru. Pili, inafahamika wazi kuwa Shibuda sio mwana CDM bali alitumia tu CDM kama daraja la kupatia ubunge na si vinginevyo. Lakini pia, kwa kusoma alama za nyakati kuwa hana uwezekano wa kutumia CDM tena katika harakati zake za kisiasa kama alivyofanya mwaka 2010, sasa anajaribu kuwahadaa CCM kuwa anawaunga mkono ili yamkini arudi kwao. Kwa kifupi, huyu jamaa ni opportunistic au kwa lugha nyingine katika wigo wa kisiasa tunaita 'political prostitution'

Na mwandishi Stephen Beligeya Dodoma;

Mbunge wa Maswa Magharibi [CHADEMA] John Magale Shibuda,amemwagia sifa katibu mkuu wa CCM Abdrahaman Kinana,kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi mtendaji,makini na mchapa kazi na msikivu ktk kushughulikia kero za wananchi.
Pia alisema kuwa Ccm ni chama sikivu na makini ktk kusikiliza kero za wananchi hivyo kuwataka wananchi kuwa na imani nacho ili matatizo mbalimbali yanayowakabili yaweze kutatuliwa,kauli hii ya Shibuda ambae ni mwana siasa makini na muwazi aliitoa mjini Dodoma.

Alisema inapokuja swala la maendeleo na uzalendo kwa taifa,hapo ndipo inapo dhiirisha namna na jinsi CCM na serikali yake inavyotimiza wajibu ktk kuwatumikia wananchi wake bila kujali itikadi.
Hayo aliyaeleza ktk mkutano wa pamoja kati ya wawakilishi wa wafugaji kutoka wilaya mbalimbali ktk mkoa wa Dodoma,Mbeya na Morogoro ulioandaliwa na Kinana kwa ajili ya kusikiliza kero zonazowakabili.

Shibuda alisema kuwa Kinana amekuwa kiongozi Hodari makini na mchapa kazi,hivyo kuwataka wafugaji hao kuwa na imani nae.

Chanzo: Gazeti la Uhuru!
 
Kumbe Shibuda ha ha ha ha ha huyu huwa kimwili ni Chadema, kiroho ni CCM, wala hasumbui. Kama CCM unamtaka mchukueni tu hana tija Chadema
 
Na mwandishi Stephen Beligeya Dodoma;

Mbunge wa Maswa Magharibi [CHADEMA] John Magale Shibuda,amemwagia sifa katibu mkuu wa CCM Abdrahaman Kinana,kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi mtendaji,makini na mchapa kazi na msikivu ktk kushughulikia kero za wananchi.
Pia alisema kuwa Ccm ni chama sikivu na makini ktk kusikiliza kero za wananchi hivyo kuwataka wananchi kuwa na imani nacho ili matatizo mbalimbali yanayowakabili yaweze kutatuliwa,kauli hii ya Shibuda ambae ni mwana siasa makini na muwazi aliitoa mjini Dodoma.

Alisema inapokuja swala la maendeleo na uzalendo kwa taifa,hapo ndipo inapo dhiirisha namna na jinsi CCM na serikali yake inavyotimiza wajibu ktk kuwatumikia wananchi wake bila kujali itikadi.
Hayo aliyaeleza ktk mkutano wa pamoja kati ya wawakilishi wa wafugaji kutoka wilaya mbalimbali ktk mkoa wa Dodoma,Mbeya na Morogoro ulioandaliwa na Kinana kwa ajili ya kusikiliza kero zonazowakabili.

Shibuda alisema kuwa Kinana amekuwa kiongozi Hodari makini na mchapa kazi,hivyo kuwataka wafugaji hao kuwa na imani nae.

Chanzo: Gazeti la Uhuru!

Gazeti la Uhuru na Shibuda ? Haya muda wake unaisha atarudi CCM tutapambana naye jimboni
 
Back
Top Bottom