nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Uhuru ni gazeti la udaku na uzushi.
Na mwandishi Stephen Beligeya Dodoma;
Mbunge wa Maswa Magharibi [CHADEMA] John Magale Shibuda,amemwagia sifa katibu mkuu wa CCM Abdrahaman Kinana,kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi mtendaji,makini na mchapa kazi na msikivu ktk kushughulikia kero za wananchi.
Pia alisema kuwa Ccm ni chama sikivu na makini ktk kusikiliza kero za wananchi hivyo kuwataka wananchi kuwa na imani nacho ili matatizo mbalimbali yanayowakabili yaweze kutatuliwa,kauli hii ya Shibuda ambae ni mwana siasa makini na muwazi aliitoa mjini Dodoma.
Alisema inapokuja swala la maendeleo na uzalendo kwa taifa,hapo ndipo inapo dhiirisha namna na jinsi CCM na serikali yake inavyotimiza wajibu ktk kuwatumikia wananchi wake bila kujali itikadi.
Hayo aliyaeleza ktk mkutano wa pamoja kati ya wawakilishi wa wafugaji kutoka wilaya mbalimbali ktk mkoa wa Dodoma,Mbeya na Morogoro ulioandaliwa na Kinana kwa ajili ya kusikiliza kero zonazowakabili.
Shibuda alisema kuwa Kinana amekuwa kiongozi Hodari makini na mchapa kazi,hivyo kuwataka wafugaji hao kuwa na imani nae.
Chanzo: Gazeti la Uhuru!
Gazeti la Uhuru+Mbunge Shibuda=Chama cha Magamba!Na mwandishi Stephen Beligeya Dodoma;

Comments zako zinafanana fanana na yanayofanyika Msalani!!Shibuda anaijua demokrasia ya kweli, hayumbishwi na wachaga yule!
Ccm ni chama makini siku zote wakisema lakini kinasonga mbele.
Akili yako iko sawasawa...
Haya sasa ni matusi kwa nini unaamua kumdhalilisha kiasi hiki huyu Shibuda, hata kama anafanya mambo ya kijinga kumtukana si sahihi
Shibuda i swear to god malipo ya usaliti na unafiki wako, utayapata papa hapa duniani
Kwa hiyo ulitaka AKUVULIE wewe? Una wivu wa kike sanaee?
Shibuda kumbe huu ndio mchezo wake wa kuvulia watu nanihii yake?
Alijipendekeza Cdm akaingia kichwa kichwa,ndio maana ametuvulia na akapasuliwa hiyo ngogwe yake.
Kumbe source ni gazeti la uhuru...dah...gazeti la uhuru nila udaku, uwongo na uzandiki.