Kuwa mpinzani haina maana upinge kila kitu! Ndipo mnapobugi wana CDM.
Ndio CCM ina mabaya kwani haina mema jamani? Mbona mna roho kama gazeti? Tena gazeti la Kiu lililojua mema ya mtu.
Kuwa upinzani haina maana kwamba upinge kilakitu hapa ndio mnapobugi CDM.
Ni kweli CCM ina mapungufu kwani hata mema haina jamani? Mbona mnakuwa na roho kama gazeti? Tena gazeti la kiu lisilojua mema ya mtu.
...shibuda kasema kweli , kero mbali mbali Za wananchi hazijawahi kushughulikiwa Na Katibu Mkuu wa chadema popote - Ni utendaji aliouona Kwa Kinana Na Chana chake- asiseme UKWELI?
sijawahi kuliamini gazeti la uhuru , hata liliporipoti kifo cha Nyerere miaka 14 iliyopita nilipinga vibaya sana , nilikuja kuamini baada ya baada ya kusoma magazeti mengine !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.