Naomba mwenye Data anijuze where is Tundu Lissu na Mwenzake Mabere..... I think this situation calls for wanasheria... au je wapo Arusha tayari??????
Ni upumbavu gani huu unafanywa na CCM?
nI SHERIA GANI INAYOwaruhusu kufanya uchaguzi muda ambao haukubaliki kama huo(saa 10usiku?)
Nampa pole sana Lema, japokuwa hujaeleza alipigiwa nini..je alitukana au kuanza kumpiga mtu?
LETE DETAILS ZA KUTOSHA BRODA!
Hapo bila ya MAHAKAMA, hakuna jema lolote litakalotendeka...Hivi wanataka kuona nini watu wa Arusha hii?...Damu imwagike?...Any gold-fingered dog standing by this dirty game will pay for this...mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
Naomba mwenye Data anijuze where is Tundu Lissu na Mwenzake Mabere..... I think this situation calls for wanasheria... au je wapo Arusha tayari??????
Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
mJOMBA, labda hujawahi kuwekewa bangi mfukoni na ukasingiziwa ni mtumizi...Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????