Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

Huyu, wenzake walishaandaa tamasha kabla yake, yeye anachoshindana ni nini? Anataka kuwaharibia kazi zao? Si angesubiri leo wenzake kesho yeye.

Asiruhusiwe kabis kufanya hiyo shoo yake. Anania mbaya huyu.

Huwezi kuzuia riziki za wengine eti asiruhusiwe kabisa. Kazi za kutonya baadhi yetu tusio na utetezi sasa zinaelekea ukingoni YAANI MPAKA KIELEWEKE. POLENI MNALO HILO
 
Nimefanya kaz kwa karbu sana na wasanii wa kizaz kipya...na ninaendlea kufanya nao kazi,analolsema Sugu c jpya..n "kupe" wa wasanii wa mda mrefu,cloudz wamewagawanya wasanii na kuwanyonya kwa mda mrefu,ukiktana nao faragha watakwambia na watalalamika sana,lkn shule,exposure na uwoga ndo v2 vnavowaghalimu GK,Kala Jeremiah,Mr Nice,Kala pina e.t.c n miongon mwa watu walioathrka na unyonyaj wa Cloudz...kuna meng ya kusema na kuandka kuhsu unyonyaj huu...kfup Sugu ypo ktk harakat nzur..lakn wasanii njaa wa kbongo wanamuangusha!
 
Mh sugu ushauri wangu wa bure kwako, amini kuwa hata hao waliokukamata wanaona upande wa pili wa shilingi na kuanzia hapo kabla hujaamua jambo pata ushauri kwanza. Viongozi wasiohitaji ushauri hao wapo ccm wewe utaadhirika

Acha ujinga wewe unaushauri gani akili ya panzi kaa kimia kama hauna mchango.
 
Huyu, wenzake walishaandaa tamasha kabla yake, yeye anachoshindana ni nini? Anataka kuwaharibia kazi zao? Si angesubiri leo wenzake kesho yeye.

Asiruhusiwe kabis kufanya hiyo shoo yake. Anania mbaya huyu.
Ofcourse that is the all point ana-protest unyonyaji wa the so called Empire inayowanyonya wasanii, kwahiyo unless wewe ni (Lady Jaydee, Ray C au msanii) ni vigumu kumbishia Sugu ambaye takriban maisha yake yote alikuwa ni Msanii (one of the first Rappers in Tanzania); kwa ufupi he knows better than you and me... (of you are not the above mentioned of course, if you are am sorry na ninafuta kauli yangu)
 
Mh sugu ushauri wangu wa bure kwako, amini kuwa hata hao waliokukamata wanaona upande wa pili wa shilingi na kuanzia hapo kabla hujaamua jambo pata ushauri kwanza. Viongozi wasiohitaji ushauri hao wapo ccm wewe utaadhirika

mmh! kibonde
 
duh! POLISI wetu wanaangalia wapi watakula leo....kama SISIeMU sawa ...kama ni kwa wanyonyaji wengine kama hawa sawa....lakini mwisho wao utafika tu...

mlioko MBEYA tupeni updates tafadhali!
nini kimeendelea kwa pande zote mbili?
 
Wasanii kama wana Busara basi wangemuunga mkono Sugu. Ni vyema wakamtumia huyu Mbunge ili waweze kupata haki zao, vinginevyo watazidi kuonewa mpaka wanakufa kimuziki...
 
naombeni feedback
Show ya Sugu ilifanyika?, Fiesta ilipata watu?
Naombeni majibu tafadhali

Nimeona picha zao ziko kwenye blog hii hapa chini....
JIACHIE
Ukweli ni kwamba Ruge Mutahaba,Prime Time promotions & Co......Ni kupe......Wanyonyaji wakubwa hawa wa wasanii,wao wanatajirika halafu wasanii wanabaki hohehahe....

Wasanii wetu ni mambumbumbu waliopitiliza........Na daima wataendelea kuwa masikini(wa mawazo na kipato) kama hawataamka...

Safi sana Sugu........Mwanzo mzuri....

Bala.
 
wasanii wanafuata fiesta wakati mwingine kwa sababu hawana pa kwenda. nafikiri ni nafasi ya Mr. Sugu na wengine wenye mapenzi mema na wasanii hawa kujenga uwezo wa kuwasaidia wasanii hawa iwe kwa kuanzisha kitu kingine cha kiushindani kitakacho walipa vizuri. hawataenda kwenye hiyo empire otherwise yatabaki maneno tu na wasanii watahisi empire ndiyo mkombozi wao
 
Nafikiri unamsema Saida Kaloli alichambuliwa sana huyo tena alikuwa wa mwanzo mwanzo miaka ya 90 kuna wakati nayeye alilalamika kuwa promota wake (nafikiri alikuwa anaitwa Ruta) kuwa anamlipa mshahara kwa mwezi(elf 90) wakati wanaingiza mamilioni kwa wiki.

yule alikuwa ni mmiliki wa FM studio anaitwa fausta muta, mhaya mwenzake...sasa ni promota wa nyimbo za injili na huko nako wameanza kumuogopa jamaa anawaibia kweli.
 
Hata nami nilitaka kuulizia hilo humu jamvini. Mchana kutwa kwenye gari nasikia sauti ya Sugu akihamasisha fiesta kwenye radio clouds,kumbe kakamatwa!. By the way,kisheria hii inaruhusiwa wanasheria ?
hairuhusiwi kwani wametumia sauti yake kutangaza biashara yao..nahisi wanamchokoza ili wammalize kisiasa kwani cloudz ni ngome ya CCM
 
Kwanza Sugu ni muanzilish wa muzik wa kizaz kpya hapa nchn..kama ilivyokuwa ngumu kukubalika kwa mzik huo na sasa umekubalika nna uhakika atafight na Empire itacollapse tu..wanabore sana haya manyonyaj
 
ruge mutahaba mhunu sana.si dio yule amemtia umaskini dada mwenye kipaji saida karoli
Amenyonya sana,leo hii hana mbele wala nyuma.cha ajabu watangazaji wote wa cliuds fm wako brain washed.adui wa ruge ni adui wao hata kama huyo adui ana sababu na madai ya msingi-hii yote sababu ya kuendekeza njaa kali.

Mkuu weka rekodi yako vizuri aliyekuwa na Saida Karoli ni Felisian Muta aliyekuwa na FM studio kule kinondoni usiwachanganye hawa
 
Mi nimekupata vizuri Sugu ingawa wengine hawataki kukusoma,lakin kazi hunayo manake wasanii wetu mara rahisi wamasharobaro,rahisi wawasafi,nk.Mpaka wakuunge mkono wanahitaji elimu yakutosha ili wazitambue haki zao.
 
Mtu wa kawaida ni mimi na wenzangu tusiojua misamiati ya wasanii mitaani

Linaweza kuwa halimo kwenye kamusi lakini mimi hapa sijaandika taarifa rasmi kwa vyombo vya habari wala sina wajibu wowote kwa taifa

Badala ya kutoa mchango, umeng'ang'ana kujifanya wewe ndo Prof. Masamba, mwl Mayoka na Suleimani Hega wewe peke yako. Kama tarakimu tu imeshindikana yatawezekana vipi hayo unayoyashupalia? Tuliza basi tumeshajua wewe ni bingwa wa ngeli za kibongo. Hongera mkubwa.
 
Back
Top Bottom