EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Unajua huyu jamaa Zitto kuna problem kidogo ndio ni haki yake kuoongea na clouds lakini kuna vitu unaweza kuviona vidogo lakini vikawa na impact kubwa ni sawa na Shibuda alipohudhuria sherehe ile huku chama kimesusia ni kitu cha kawaida lakini ukichunguza kuna shida. Zitto kuruhusu sauti yake huku kuna mbunge wa chama chake wana conflict na sehemu hiyo ni kama clouds wanataka kuwagombanisha Sugu na Zitto bila wao kujua in a long run inaweza kuleta hisia tofauti kwa wanachama na viongozi wengine.Safi sana Sugu pigania haki bila kuchoka na sisi tunakuunga mkono, Huyu Zitto nae akatoe sauti yake kwenye lile tangazo la fiesta. Haina maana huku Sugu anajitahidi kupigania haki halafu Zitto nae anaunga mkono.