Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

well done Sugu. Kwa sasa we ndo kimbilio la wahanga wa huu unyonyaji unaofanywa na hao mabwana wa Clouds
 
Fiesta inafanyika mara ngapi kwa mwaka? Sugu angeweka mkazo kwenye kuwasaidia wasanii wenzake kujifunza adabu ya matumizi na njia ya kuongeza vipato vyao kama kweli anakerwa na hali mbaya za wasanii. Wapo wasanii kadhaa wenye adabu na matumizi yao leo maisha yao mazuri sana japo 'wananyonywa' na hiyo fiesta yao. Kuna mifano ya akina AY,FA, Lady JD na wengine wengi waliotumikia hiyo fiesta miaka nenda rudi lakini maisha yao bado ni mazuri sana,Sugu asitake kusingizia tamasha linalofanyika mara moja kwa mwaka ndio chanzo cha hali mbaya za wasanii wakati tunaishi nao mitaani tunaona mtindo wa maisha yao wa kushinda baa, kulala club, kubadilisha wanawake na kikubwa tabia yao ya uvivu kutokujishughulisha na shughuli nyingine za kuongeza kipato bali kutegemea kuomba omba na vishoo vya laki mbili na nusu.
 
sidhani kama kweri huu ni uwanja wako,..sijawai kumuona JIDE wala AY fiesta usipotoshe..lakini umemsahau MATONYA pia ana pesa sana kwa mgongo wa mziki,ila ki ukweri ni muuza UNGA,na ndio biashara inayowatoa wasanii wengi siku izi..,shtuka
 
Back
Top Bottom