Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

iam confused!jana usiku nilisikia sauti ya sugu(kama ya sugu)akiunga mkono fiesta kwenye clouds radio na nilipigwa na butwaa,au jamaa waliimitate sauti ya sugu??nilinusa harufu ya umafia wa clouds toka inaanzishwa back in 98 or 99...hawa jamaa si wafe wote kwa wakati mmoja..i will bless that day..

Siyo hivyo tu; leo jioni kwenye saa kumi na mbili hivi Clouds walikuwa wanatangaza kuwa Sugu bado yuko rumande na taarifa zitatolewa atatoka lini.

Wako katika Jengo la Manji, Wamewachukua baadhi ya watangazaji toka ITV, Ni wasemaji wakuu wa Chana la Magamba kuliko Radio uhuru, Ni watoa kashfa nzito zisizo na mpaka kwa viongozi wa upinzani wa kitaifa.

Tuje kwenye kwenye CV zao.

Nijuavyo mimi sijawahi kusikia chuo cha Kibonde wala hao wengine zaidi ni mkusanyiko wa mabingwa wa fitina na ukimbele front.

Mr. Sugu kuwe na makosa ya kiuandishi au mengine suala limeeleweka kuhusu u-empire ulivyo kwenye mfumo wa utawala wa JK. Nakupa Big Up kwa taarifa hii ingekuwa ni ujumbe wa simu ni ile wanaita msg sent nikisisitiza haitapotelea kama ambavyo jamaa wanajitahidi kupotezea.
 
Sugu atueleze hao wasanii kina nani wananyanyaswa au fitna binafsi?Atwambie wanalipwa ngapi na yeye anataka walipwe kiasi gani? Weka mchanganuo si porojoHii ni biashara, wekeza kwenye usanii basi, anzisha redio, anzisha studio tuone utakavyowalipa. Au peleka hoja yenye mshiko bungeni tuone.Biashara siyo siasa, watakupa kiburi wengi humu ila hutofanikiwa.Umepata pesa ya ubunge umewekeza kwenye shangingi.Si ungewekeza kwenye hayo unajifanya kutetea!
pole sana kwa kuwa gizani..ningekuona wa maana kama ungejadili hoja ya SUGU sio ktmjadili yeye.nafikiri hoja yake ni nzito sana kwa kumstakabali wa vijana haswa walio au wanaotaka kujiajiri kwenye sanaa
 
Sugu atueleze hao wasanii kina nani wananyanyaswa au fitna binafsi?
Atwambie wanalipwa ngapi na yeye anataka walipwe kiasi gani? Weka mchanganuo si porojo
Hii ni biashara, wekeza kwenye usanii basi, anzisha redio, anzisha studio tuone utakavyowalipa. Au peleka hoja yenye mshiko bungeni tuone.
Biashara siyo siasa, watakupa kiburi wengi humu ila hutofanikiwa.
Umepata pesa ya ubunge umewekeza kwenye shangingi.
Si ungewekeza kwenye hayo unajifanya kutetea!

Amekugusa pabaya. You can assure yourself now; You have convinced many that you are dubious. Mbona wewe husemi mnawalipa ngapi wasanii? Mmewapromote wangapi? Mmelipa kodi kiasi gani?

As for siasa nani wanaishi kwa siasa kuliko Clouds? SIKU NJEMA ZA MUNGU WA HAKI HAIISHI. NI MWANZO TU HUU.
 
Huyu, wenzake walishaandaa tamasha kabla yake, yeye anachoshindana ni nini? Anataka kuwaharibia kazi zao? Si angesubiri leo wenzake kesho yeye. Asiruhusiwe kabis kufanya hiyo shoo yake. Anania mbaya huyu.
Huyu mama haambiliki naye anakera kwelikweli..........
 
Hii ni kama alivyoandika mwenyewe Sugu au umeifanyia editing kidogo?

Na huyu Mdosi ni nani kwa muktadha uliotumiwa na Bwana Sugu? Middle man? Wakala?
Na hilo neno linapatikana kwenye kamusi yoyote au ni msamiati mpya?
Oyaa acha ujinga jadili context na sio kujifanya wewe unatoka BAKITA kuna mbongo gani asiyejua neno mdosi. au umetumwa na akina Ruge Mutahaba.
 
Sugu atueleze hao wasanii kina nani wananyanyaswa au fitna binafsi?
Atwambie wanalipwa ngapi na yeye anataka walipwe kiasi gani? Weka mchanganuo si porojo
Hii ni biashara, wekeza kwenye usanii basi, anzisha redio, anzisha studio tuone utakavyowalipa. Au peleka hoja yenye mshiko bungeni tuone.
Biashara siyo siasa, watakupa kiburi wengi humu ila hutofanikiwa.
Umepata pesa ya ubunge umewekeza kwenye shangingi.
Si ungewekeza kwenye hayo unajifanya kutetea!

Bila shaka wewe ni mmoja wa wanyonyaji na unajifanya unawapenda wasanii ili uneemeke wao wabaki maskini sasa "here we go!" kiama cha himaya yenu kimefika.
 
Safari hii kina Kusaga na Ruge wamekutana na kichwa Sugu, siku nyingi lakini walikuwa wananyanyasa naona wameingia kwenye anga zake
 
Sugu atueleze hao wasanii kina nani wananyanyaswa au fitna binafsi?
Atwambie wanalipwa ngapi na yeye anataka walipwe kiasi gani? Weka mchanganuo si porojo
Hii ni biashara, wekeza kwenye usanii basi, anzisha redio, anzisha studio tuone utakavyowalipa. Au peleka hoja yenye mshiko bungeni tuone.
Biashara siyo siasa, watakupa kiburi wengi humu ila hutofanikiwa.
Umepata pesa ya ubunge umewekeza kwenye shangingi.
Si ungewekeza kwenye hayo unajifanya kutetea!

Mbona nilishaona clip ya Diamond akilalamika the same issue nafikiri inaweza kuwa you tube. Yeye alienda mbali zaidi akashutumu mabaraza yaliyoteuliwa kusimamia haki zao etc. Diamond alikua anazungumzia the same issue ila sidhani kama ilifika mahali. Kamanda Sele naye ana-ongeaga wakimtibua. Nahisi wenzie ni waoga kama wanalivyosema wengine. It is very interesting hata Jaffarai mwenyewe kwenye face book alikua anamshutumu Sugu hajamsikia akitetea haki za wanamziki: haya sasa Jaffarai toa support kwenye hii issue isije ukawa ulikuwa unasema tu pasipo vitendo. Binafsi naona kama Clouds wamei-monopolize system nzima ya muziki wa Tanzania. That being said: Wanamuziki nilazima waunganishe nguvu kutafuta njia mbadala yakuondoa hii monopoly e.g. kuanzisha system nyingine itakayotoa ushindani wa uhakika kwa Clouds or else; kujitolea kuwabana Clouds at all angles mpaka kieleweke. This will not be easy; they have to be ready for a rough ride (hayo ni mawazo yangu).
 
Mtu wa kawaida ni mimi na wenzangu tusiojua misamiati ya wasanii mitaani

Linaweza kuwa halimo kwenye kamusi lakini mimi hapa sijaandika taarifa rasmi kwa vyombo vya habari wala sina wajibu wowote kwa taifa
Kwani shule ya ubunge iko wapi?
 
ile ni sauti ya SUGU ila ya zamani sana 2004 wameifanyia uhuni wao.kama kawaida yao wahuni hawa,kuna mtu anaitwa SUKA ndio mtaalamu wa izo ishu pale
Hata nami nilitaka kuulizia hilo humu jamvini. Mchana kutwa kwenye gari nasikia sauti ya Sugu akihamasisha fiesta kwenye radio clouds,kumbe kakamatwa!. By the way,kisheria hii inaruhusiwa wanasheria ?
 
Humu ndani wamejaa watu wa clouds,sasa kwa taarifa yenu shoo yenu hapo uwanja wa sokoine imeenda ovyo hakuna watu kabisa
 
Mdosi ni mhindi anaeuza kopi za wasanii wanaompelekea album zao
Hii ni kama alivyoandika mwenyewe Sugu au umeifanyia editing kidogo?Na huyu Mdosi ni nani kwa muktadha uliotumiwa na Bwana Sugu? Middle man? Wakala? Na hilo neno linapatikana kwenye kamusi yoyote au ni msamiati mpya?
 
Capitalists ndio michezo yao hiyooooo......kunyonya na kusepa......wako wapi akina nice......?????
 
Mh sugu ushauri wangu wa bure kwako, amini kuwa hata hao waliokukamata wanaona upande wa pili wa shilingi na kuanzia hapo kabla hujaamua jambo pata ushauri kwanza. Viongozi wasiohitaji ushauri hao wapo ccm wewe utaadhirika
 
jk,is not a serious guy,hvyo basi ni rahisi kuhadaika na kughilibika.reasoning ya baba riz ipo too low.ninajisikia aibu kutambulishwa na rais wa viwango hv vya jk.
word!!!! He's very very very very bogus prizida!
 
Back
Top Bottom