Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
hii picha ya zamani sana.mia
hii picha ya zamani sana.mia
Hivi watu wasisalimiane kwa ajili ya siasa?
kwa katiba yetu ilivo ni ngumu kutofautisha ni lini rais anafanya kazi kama rais na ni lini anafanya kazi kama mwenyekiti wa chama!! sio body guard tu huwa anatumia resources nyingi sana kufanikisha mambo ya kichama kwa kutumia kofia ya urais,ni udhaifu mkubwa sana kwenye katiba yetu!!Hivi rais huwa anaenda na bodigadi wake hata kwenye vikao vya chama? Namuona nyuma hapo kwenye picha ya ndege
mhhhhh Shibunda ..,.?
Labda hakusikia vizuri tangazo; aliamka akakuta matangazo ndo yanaishia ishia... ilitangazwa kwamba Kikwete atakutana na wabunge wa CCM sio wabungu wa bunge la Muungano wa Tanzania.
Mwenyekiti wa CCM Kikwete akipokelewa na safu ya uongozi wa Juu wa CCM
akiwapo Mbunge wa CCM John Shibuda, November 19, 2011 mjini DodomaKabla ya kuongea na wabunge wa CCm
Mbunge wa Chadema John Shibunda akisalimiana na Rais Kikwete alipofika Dodoma kuongea na wabunge wa CCM kabla ya vikao vya CCM kuanza. Mbunge Shibuda wa Chadema akiambatana na uongozi wa juu wa CCM akishirikishwa katika hafla hiyo. Je ni usaliti kwa chama chake cha Chadema? Haya yametokea jana usiku kama inavyoonekana katika picha.
Mwenyekiti wa CCM Kikwete akipokelewa na safu ya uongozi wa Juu wa CCM
akiwapo Mbunge wa CCM John Shibuda, November 19, 2011 mjini DodomaKabla ya kuongea na wabunge wa CCm
Mbunge wa Chadema John Shibunda akisalimiana na Rais Kikwete alipofika Dodoma kuongea na wabunge wa CCM kabla ya vikao vya CCM kuanza. Mbunge ..., Kibuyu nikibuyu hata ukiweka hakiwezi kugeuka kuwa chupa ya chai.