Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.

Bora hata ww uliyaona bibi, sasa tuungane kudai katiba mpya itakayotuepusha kuja kutawaliwa kidhalimu tena huko mbeleni.
 
Yaani kuna mambo yanavyoripotiwa na jinsi yalivyo kama huyajui vizuri unaweza kujikuta umepata deppression.

Hiyo kampuni naifahamu na in a wafanyakazi wengi tu lakini humu kama hawapajui. Ila bongo kuna siri aisee!!
 
Yaani kuna mambo yanavyoripotiwa na jinsi yalivyo kama huyajui vizuri unaweza kujikuta umepata deppression.

Hiyo kampuni naifahamu na in a wafanyakazi wengi tu lakini humu kama hawapajui. Ila bongo kuna siri aisee!!
Inaitwaje bwashee?
 
hiyo tenda ya kusafirisha uliiona wapi?
ilitangazwa watu wagombee wote kwa haki?MATAGA mtakufa mdomo wazi.
 
Mbona kampuni aliyosema Shabiby nchi hii ipo moja tu, why watu wanashindwa kuijua. Kampuni ina miaka zaidi ya 10 wanaongea leo utafikiri imekuja juzi wakati kila mara EWURA huwa wanaiongezea tenda.
Bwashee mbona unaogopa hata kuitaja tu?!!
 
haya semaneni sana, yaani tutajua mengi baada ya mwendazake kuzuia watu wasiongee kwa miaka 6 mfululizo - Fungukeni msiogope Mama yupo atawaamulia...
 
Kuna kutafutana mzee. Hukusikia Lake Oil wakitaka kumpa hela Melo awape data za mtu aliyewalipua humu JF na mpaka leo wana kesi mahakamani kwa kukataa kumtaja huyo mtu.
Mello wa JF nimtu poa sana, aliletewa mamilioni ya Lake Oil lakini alikataa, jamaa ni mtu na nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…