Mbunge Saasisha apendekeza Serikali iweke siku maalum ya Magufuli Day

Madhara ya mimba za guest, mitoto haiwezi kuwa na akili zao, hata ujinga kwao ni umaridadi.... wengine wanatamani hata kwenye kumbukumbu asiwepo kabisa, chagga moja linatapika utopolo bungeni
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”
Hivi Hawa wabunge wataacha lini kufikiri kwa kutumia MAKALIO?
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”
kwa mazuri niliyo fanya kijijini kwetu. Natumai wananzengo kuomba kuwe na Kasomi day
 
RPC wa Moshi, Mkurugenzi NEC na Sabaya wafungwe kwa kuleta hii takataka.
 
Hii ndio shida ya watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi ila walipelekwa bungeni kwa ubabe wa Magufuli. Iko siku watataka nchi iitwe Republic of Magufuli. Wajinga ni wengi sana kwenye bunge la sasa.
 
Back
Top Bottom