Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Ya Mexence Melo Day, imepita bila kupingwa.Basi tuweke pia na Mkapa Day! Maana hata yeye alifanya mambo mazuri mengi tu enzi za utawala wake.
Na humu Jamii Forums tuweke pia Maxence Melo 's Day ili kumuenzi wakati akiwa hai kwa mchango wake wa kuupambania uhuru wa habari nchini, tena katika mazingira magumu.