Mbunge Saasisha apendekeza Serikali iweke siku maalum ya Magufuli Day

Mm akili yangu inaniambia hiki ulichoandika ni utani tu maana Tanzania tuna makabila mengi sana yanataniana😃😃😃
Kwa jinsi alivyoinua uchumi wa nchi; kwa mara ya kwanza katika historia nchi ikaigia uchumi wa kati; kwa jinsi unafuu wa maisha na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja ulivyoboreka nchini kuna haja sasa ya kuondokana na picha za wanyama kwenye coins na bank notes zetu; tuweke picha zake
 
Ujinga kama huu wa kiwango cha lami, bhasi tuweke JK day, mkapa day, na mwinyi day bila kufanya upendeleo.
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”
Nyerere day na Karume day zinatosha, Magufuli kafanya nini katika Tanzania yetu zaidi ya PR? Kama ni fashion kuweka Magufuli day, basi ziwepo Mwinyi day, Mkapa day, Kikwete day, Shein day, Idris abdul wakil day, Seif Sharif hamad day etc. ACHENI KUMPAISHA MAGUFULI. Alichofanya ni kuwa aliwaibia kura mkawa wabunge tu.
 
Awamu ya 5 ilileta watu wajinga sana.
Hii ni nchi ya ajabu sana tuna Wabunge wajinga kama hawa Bungeni vipi sasa tutaweza kusonga mbele .Ukiangalia nyuma utageuka jiwe sasa ni kusonga mbele tuko Mama Samia enzi cowboy ishapita kama yy alikuwa jiwe , Mimi nampa jina la JABALI ndio Mama Samia nina imani nae sana sana nyota njema huonekana asubuhi.
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli
Hawa ndio wabunge aliotuletea dikteta Magufuli, bunge limejishushia hadhi. Kuanzia spika mpaka chini ni wapiga vigelegele ngomani tu
 
Hii ni nchi ya ajabu sana tuna Wabunge wajinga kama hawa Bungeni vipi sasa tutaweza kusonga mbele .Ukiangalia nyuma utageuka jiwe sasa ni kusonga mbele tuko Mama Samia enzi cowboy ishapita kama yy alikuwa jiwe , Mimi nampa jina la JABALI ndio Mama Samia nina imani nae sana sana nyota njema huonekana asubuhi.
Binafsi sina imani na mtawala yoyote kwa hii katiba mbovu
 
JPM alivyokuwa hapendi rushwa, angejua ulihonga pikipiki 17 kwà makatibu kata wote wa ccm kule hai ,jina lako lisingerudishwa.
Nani hakupenda rushwa????Yule ndiyo mwasisi wa rushwa sema alizuia uhuru wa habari za kufichua maovu,alipendelea kusifiwa sifiwa.
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”

Tanzania tubadili jina tuite - MAGUNIA
Chato iwe mkoa na iitwe - MAGUFULI
 
Mjane awe makini nahao wanajipendekeza ....mana sidhani kama mjane nimzee atamudu upweke..hawakawii kusema siunaona Mimi najaribu hata kumpigia mzee awe na siku yakumbukumbu.hivyo nafaa kua jirani sana kwaukaribu sana na familia

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Utengwe mwezi mmoja mzima wa mapumziko, kila mwaka, tuenzi viongozi wa awamu zote bara na visiwani bila kuwasahau kina Chief Mkwawa na Kinjeketile.

Itapendeza zaidi hivyo!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Nyerere day na Karume day zinatosha, Magufuli kafanya nini katika Tanzania yetu zaidi ya PR? Kama ni fashion kuweka Magufuli day, basi ziwepo Mwinyi day, Mkapa day, Kikwete day, Shein day, Idris abdul wakil day, Seif Sharif hamad day etc. ACHENI KUMPAISHA MAGUFULI. Alichofanya ni kuwa aliwaibia kura mkawa wabunge tu.
Umemsahau komando Salmin Amour Day, kisha Aboud Jumbe day, na wale mashujaa kina Mkwawa, Kinjeketile, Mputa Maseko, Mirambo, Mareale, Mangi wote Meli, Sina..

Upuuzi na ujinga, nchi nyingi zilikuwa na viongozi mahiri, mfano Waingereza pamoja na kumkubali Churchill, Magreth Thatcher hawana hayo makitu. Nenda U.S. Kuna Washington, Lincoln sijui Roosevelt wala hawana special day.

Walichofanya ni kuandika vitabu vya historia, watoto wasome. Wapembue mema na mabaya!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”
Hawa wanafanya watz tuonekane wajinga katika uso wa dunia,yeye anafikili,katiba ni takwa la vyama? Katiba ni takwa la wananchi KWA ustawi wa taifa KWA kizazi Cha leo kesho na kesho kutwa ,au yeye anafikili ataendelea kuwa mbunge na kuishi milele? Watu Kama awa walitakiwa kutolipwa mshahara,na wafukuzwe bungeni wanaziba nafasi KWA watu wenye maono mapana KWA taifa, na haya ndo matatizo ya uchaguzi wa 2020 kwamba Kuna watu wako bungeni ila hawajui why wapo pale, wao ni posho ,mshahara , basi, subili watu Kama awa tutaanza kufunga KWA ajili yao ili mungu aseme nao,
 
Wanamsifu mwendazake sijui amefanya nini Kipya. hapo akiulizwa amefanya nini ata kuambia amejenga Fly over .
 
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya kuyaenzi mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli enzi za uhai wake.

“Napendekeza kuwe na Magufuli Day ili kumuenzi JPM lakini pia hapa Dodoma kujengwe kituo Maalum cha kutunza kumbukumbu za Hayati Magufuli na kwenye mtaala wetu kwenye somo ambalo Hayati alilipendekeza la Historia ya Tanzania, kuwe na Historia ya Magufuli”
Hakuna jipya hapo. Tulijua tangu mwanzo kuwa alipigania hilo somo ili atajwe mle. Je, mtakuwa tayari kuyataja yote yaliyotokea kipindi chake? Watu kwenye viroba, kupotezwa, kupigwa risasi, kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom