Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
NI WIVU TUBasi tuweke pia na Mkapa Day! Maana hata yeye alifanya mambo mazuri mengi tu enzi za utawala wake.
Kwa mwendelezo huu tutegemee pia Kikwette, Mwinyi, Samia days na nyingi nyingine za marais wajao.Basi tuweke pia na Mkapa Day! Maana hata yeye alifanya mambo mazuri mengi tu enzi za utawala wake.
Wivuuu!! Ujinga!!!😇NI WIVU TU
Awamu ya 5 ilileta watu wajinga sana.Basi tuweke pia na Mkapa Day! Maana hata yeye alifanya mambo mazuri mengi tu enzi za utawala wake.
Na humu Jamii Forums tuweke pia Maxence Melo 's Day ili kumuenzi wakati akiwa hai kwa mchango wake wa kuupambania uhuru wa habari nchini, tena katika mazingira magumu.
Ndiyo maana kachanganyikiwa.Ukumbuke kurudisha fadhila kwà Doto Biteko alikusaidia sana kwenye kampeni zako na kukuhamishia tume ya madini kutoka katibu tarafa.
Wanakumbuka marehemu alikowatoa
Na bado wana fikiri wako na Magu.Awamu ya 5 ilileta watu wajinga sn
Ni aibu sana.Na bado wana fikiri wako na Magu.