MBUNGE: POLISI wameshaninyang'anya JIMBO langu...

Kuna mtu aliniambia kwa falsafa kidogo, kuwa JK ni CDM, NIKABISHA!

Lakini kadiri muda unavyokwenda, na vitendo vinavyofanyika, nazidi kuamini pengine upo ukweli fulani.

Muache yeye na Serikali yake waendeleze vitendo vyao,

madhara yake watayaona,soon. Kadi yake, hatapewa!
 
Huyu kwanza si yule aliyekuwa na kashfa ya kuzika wahanga wa ajali la basi lake la ABOOD pale MDAULA kuficha kashfa ya mabasi yake ya ajali dhidi ya mshindani wake HOOD.Atulie
ni kweli,,,,by then mabas yake yakawa yanaitwa CHINJACHINJA
 
ila siamini kama abood hakujua hili swala,maskini aliusotea ubunge kwa miaka LUKUKI huyu jamaa,mkapa alikua akimfyeka tuuuuu,,,,,,
 
Kama kweli anakerwa, atangaze kujiuzulu, tofauti na hapo aache danganya toto. Huwezi kutakata kwa kuogelea ndani ya tope.
 
Kuna mtu aliniambia kwa falsafa kidogo, kuwa JK ni CDM, NIKABISHA!

Lakini kadiri muda unavyokwenda, na vitendo vinavyofanyika, nazidi kuamini pengine upo ukweli fulani.

Muache yeye na Serikali yake waendeleze vitendo vyao,

madhara yake watayaona,soon. Kadi yake, hatapewa!

naomba huyo mtu pia umuulize je na nape nae ni chadema????
 
Siasa zetu zimekuwa za hovyo sana siku hizi. Ni fujo na kuuana tu kama hatuna kazi nyingine za kufanya.
 
Kuna mtu aliniambia kwa falsafa kidogo, kuwa JK ni CDM, NIKABISHA!

Lakini kadiri muda unavyokwenda, na vitendo vinavyofanyika, nazidi kuamini pengine upo ukweli fulani.

Muache yeye na Serikali yake waendeleze vitendo vyao,

madhara yake watayaona,soon. Kadi yake, hatapewa!

nape je?????
 
Siwashauri Chadema kuendelea kuwa chama cha siasa, tunahitaji chama mbadala cha ukombozi na siyo chama cha siasa, serikali ya kigaidi ya CCM hakuna namna ya kuiondowa madarakani zaidi ya Military option.

Natowa wito kwa kila mpenda haki tupeleke kwa wingi vijana wetu kwenye mafunzo ya mgambo na JKT liwalo na liwe 2015 CCM lazima wangoke kwa njia yoyote hata ikiwezekana kwa nguvu za kijeshi la raia na siyo jeshi hili la kina Shimbo.
 
Huyu Reporter wa BBC Tanzania David Eric Nampesya mbona anashindwa kuripoti vizuri tukio la Mauwaji la Morogoro? hivi sisi Watanzania ni taaluma ipi hasa tunaimudu? nimesikiliza coverage nzuri kwa Gaidi lililouwa Mombasa na habari inasisimuwa kusikiliza lakini huyu mtangazaji wa kwetu hovyo kabisa.

Ndio maana CNN huwa hawana time na habari za Tanzania maana kama watangazaji wenyewe ndio hawa unategemea wataripoti nini!!??
 
Mungu amlaze mahali pepapeponi ally kwani amekufa kwa kutetea wanyonge wenzake kutoka serikal dhalimu ya magamba
 
Magamba bana wana team inayojitangazia kutawala maisha!!

Yaani mtu anayeitetea magamba ujue anafaidika nayo big time!!
 
Walichofanya leo Polisi ni kuwatangaza Chadema hata asiyejua Chadema ameijua leo kwa yale Mabomu
 
Wale wafuasi wakina-zomba na mwenzie Riz wamekimbilia wapi? Jitokezeni acheni tabia ya kuweka mkia tumboni kama dog.
 
Amegundua jinsi walivyo-miss calculate.Linear programming yao imewapo wrong feasible region.

Kaka lugha ya kimahesabu namna hivi tutaelewana kweli humu ndani? Anyway nitakumegea Like yangu baadaye usiku ntakaposwitch to Jf desktop
 
Back
Top Bottom