MBUNGE: POLISI wameshaninyang'anya JIMBO langu...

MBUNGE: POLISI wameshaninyang'anya JIMBO langu...

if any clever citizen out there can KEEP the images from all these incidents of oppression FOR FUTURE USE
 
mafisadi bwana kwa unafiki!abood si ndiye anayemiliki mabasi ya Abood ambayo lazima yawapitishe abiria garage moro hata kama ni usiku?kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.r.i.p ustadh ally
 
Hiyo danganya toto, inawezekana Abood alijua kabisa kuwa polisi watafanya hujuma hii

Ni kweli alijua ila mimi nimeangalia ITV habari, yule mtangazaji anasema polisi walizidiwa nguvu na wananchi na wakaelekea kwenye uwanja wa mkutano kwa maandamano. Hii kiukweli ni hatua kubwa sana kwenye mapambano ya ukombozi. Pamoja na mwananchi asiyekuwa na hatia kuuawa na polisi, ila wananchi waliamua kuendelea na maanadamano tena kwa amani bila hata kujibizana na uchokozi wa polisi.

Naamini hilo litakuwa limemtisha hata Amiri Jeshi Mkuu (wao) ndo maana hata mbunge anaanza kulalama.
Wamelikoroga na walinywe sasa.
 
Nakubaliana na wewe, na tangu mwanzo niliamini kuwa huyu Mbunge allikuwa nyuma za 'nguvu' inayotumiwa na polisi. Mambo yameharibika sasa anaanza kujikosha ili aonekane anajali walalahoi. Abood anamaliza watu na mabasi yake sasa anajificha nyuma ya polisi. Haikubaliki.

Kwa kuanzia tuanze kugomea kupanda Mabasi yake, tunashukuru BM umeleta mabasi mazuri tutapanda hayo, na kuanzia sasa sisafiri na Abood tena.
 
Makamanda wa mbeya tunaomba tuisheni!.... Tufundisheni jinsi mlivyowadhibiti wauaji hawa ktk engo zote na kuwafanya wahofie usalama wao na familia zao!... jinsi mlivyofanya barabara zote za mji kutopitika.... Tulipofika ni lazima tujilinde. Vinginevyo maneno ya mchungajiMartin Niemöller (1892–1984) yatatimia kwetu!!!!...... Mchungaji martin alisema: .............First they came for the communists, ........and I didn't speak out because I wasn't a communist. ................Then they came for the Jews, ........and I didn't speak out because I wasn't a Jews.........Then they came for the trade unionists, ...and I didn't speak out because I wasn't a trade unionist. ......................... Then they came for me, ......and there was no one left to speak for me.
 
UMATI+MKUTANO+WA+CHADEMA+PIX+NO+1.jpg

Sehemu ya umati ambao ni wakazi wa Manispaa ya Morogoro na vitongoji vyake katika mkutano huo.Picha Zote na Juma Mtanda

Dk.+Willibrod+Slaa+kutubia..jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sanga ,kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege .

Source: www.hakingowi.com ambapo kuna picha kibao za mkutano huo wa vuguvugu la mabadiliko a.k.a M4C
 
naomba huyo mtu pia umuulize je na nape nae ni chadema????

Nape hawezi kuwa CDM kwa sababu yeye anapelekeshwa tu hajui kinachoendelea. Kumbe iko siku ataachwa kwenye mataa sijui ya ubungo au ya wapi!!
 
PLEASE Mr. President, amiri jeshi mkuu, jeshi lako la polisi limeua tena huko Morogoro tafadhali toa tamko. Wewe ni chaguo la Mungu na kipenzi cha watu tafadhali tutulize watanzania toa tamko lenye matumaini kwa matukio maovu haya ili tukulinde siku mambo yakiharibika zaidi!!!!!!!!!!!!!!You are one we are many please take note.
 
Serikali inafanya makosa sana kuruhusu mikutano ya cdm then wanatuma polisi kufanya fujo. Mwisho wa siku watakuja na madai kuwa cdm wasifanye tena public rally kutatokea vifo while wao goverment ndo killers wa raia. How much ar they spending 2 kill?
 
Huyu mbunge hafai kabisa cha maana kwake ni "jimbo lake". Angekuwa na mapenzi ya dahati kwa watanzania angesema hivi, "Polisi wamefanya vibaya kuwaonea wananchi katika manispaa ya Morogoro". Mwisho wa ubunge wake umefika kutokana na kuendeleza dhuluma, unafiki, nk. CCM wafavuna walichopanda
 
Amegundua jinsi walivyo-miss calculate.Linear programming yao imewapo wrong feasible region.

umenikumbusha mbaliii sana . hizo hesabu zilikuwa zinanisumbua sna. ndiyo maaana hata hao CCM zimewasubua wakaishia kupata wrong feasible region.

like
 
Leo amedamkia Makao Mkuu ya Polisi kuangalia jinsi ya kuzima vuguvugu la jana. Amesema eti atakuwa na waathiriwa bega kwa bega...Sijui nijiue tu? Ptuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Nakubaliana na wewe, na tangu mwanzo niliamini kuwa huyu Mbunge allikuwa nyuma za 'nguvu' inayotumiwa na polisi. Mambo yameharibika sasa anaanza kujikosha ili aonekane anajali walalahoi. Abood anamaliza watu na mabasi yake sasa anajificha nyuma ya polisi. Haikubaliki.

Analalamika nini wakati BASI lake JEKUNDU la KUZIKIA limepata "MTEJA"
 
Jamani hivi tunakoelekea wapi na hawa polisi mbona wamekua kama vampire yani kila mwaka lazima wanywe damu zetu,jana yamekunywa ya Zona kesho kutwa yangu,ndo tunasema tz ya watanzania! Ama kweli"kila siku tunawindwa ka ngedere wakati wao wako chini ya ulinzi wanalindwa"inauma. na cha ajabu zaidi hakuna anayeshtuka sababu majibu ni yaleyale ambayo wanayatoa kila,nje ni tume ngapi zimeundwa kuchunguza tangu matukio ya polisi kunywa damu za wananchi wasio kuwa na hatia au zinaundwa kupunguza mnkali na jazba ya wananchi kwa kipindi husika? Kama kweli tume huwa zinatoa taarifa ni hatua zipi zishachukuliwa kwa wahusika? Inauma sana,Mungu aipumzishe mahala pema roho ya marehemu Amina.
 
Back
Top Bottom