Anazuga tu. Yeye ndie alietoa posho ya askari kulinda maandamano siku zile. Hana lolote anaogopa kesi ya kuua huyo.
Na maandamano ya mazishi wayazuie kwa risasi basi tuone????Peopleoooooooooooooooose!!!!hapo bado maandamano ya mazishi.
Mkuu,hapo bado maandamano ya mazishi.
Nape bado anaona sera ya kutumia Polisi kuwapiga wanachi risasi na kuwaua kwenye maandamano ni muafaka awambie basi wananchi????Mbunge wa Morogoro Mjini-CCM,Aziz Abood amekaririwa akisema kuwa vitendo vinavyoendelea kufanywa na Polisi Jimboni mwake,kurindimisha mabomu ya machozi na risasi ni kumpora Jimbo lake.
Taarifa toka kwa Msaidizi wa Mbunge huyo zinadai kuwa vitendo hivyo vya Polisi vinajenga chuki baina ya wananchi na Serikali yao hivyo kuweka jimbo hilo na CCM kwa ujumla mashakani. Ameapa kulalamika kwenye vikao vya Chama. Mwenye maji ampunguzie mwenzie...ngoma inogile!
Mods samahan kwani firigisi ni tusi?Cdm waendelea kumwaga damu
Huyu ni mbunge kweli? Ukiona nchi inatumia polisi kuwanyanyasa kina mama na watoto kwa mabomu sii serikali. Huyo mbunge anaisaidia nini nchi hii? Millioni kumi na moja na zaidi kwa mwezi huku raia wakitwanga mabomu na risasi kwa garama ya kodi zao. Ama kweli CCM imeishiwa mbinu. Makamanda msiangalie nyuma kila mtu kashaamka usingizini na kwa pamoja tutajikomboa tu!Mbunge wa Morogoro Mjini-CCM,Aziz Abood amekaririwa akisema kuwa vitendo vinavyoendelea kufanywa na Polisi Jimboni mwake,kurindimisha mabomu ya machozi na risasi ni kumpora Jimbo lake.
Taarifa toka kwa Msaidizi wa Mbunge huyo zinadai kuwa vitendo hivyo vya Polisi vinajenga chuki baina ya wananchi na Serikali yao hivyo kuweka jimbo hilo na CCM kwa ujumla mashakani. Ameapa kulalamika kwenye vikao vya Chama. Mwenye maji ampunguzie mwenzie...ngoma inogile!
Cdm waendelea kumwaga damu
Cdm waendelea kumwaga damu
hilo jimbo linaenda cdm 2015 hamna kisingizio cha polisi sijui hivi...hatapata sympathy
Kumtoa Abood 2015 ni ndoto....
Kama anadhani jimbo litaenda chadema basi ajiunge huko ili 2015 aliteteeMbunge wa Morogoro Mjini-CCM,Aziz Abood amekaririwa akisema kuwa vitendo vinavyoendelea kufanywa na Polisi Jimboni mwake,kurindimisha mabomu ya machozi na risasi ni kumpora Jimbo lake.