Majukumu mazito jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?
Dogo sio mzalendo.
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Mbona wanaoongoza kwa ufisadi wako Bungeni lakini amekubali kujiunga na Bunge? Au kwasababu Bungeni kuna posho nono ambazo JKT hazipo?
Kama huyu Mpemba aliweza kwa nini Nassari ashindwe?
Sawa JKT wameenda sasa wanatakiwa kuachia asilimia 60 ya mishahara yao kwa ujenzi wa taifa. Hii ndo National Service la sivyo si lolote si chochote
Kwahiyo unataka kusema wapemba ni legelege?
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
Haya mafunzo ya malengo ya kujenga ukakamavu na uzalendo kwa nchi. Sera hii ingeboreshwa ili waliowahi kupitia mafunzo haya na kupoteza ukakamavu wapewe review courses.e.g Cpt.Komba, Mama Rwakatare na mzee wa msitu. Kulala bungeni ni dalili za kutokua mkakamavu
Wewe uliwahi kwenda JKT?....Wachana na hiyo ya wiki tatu....ile ya mwaka?
Mh, sasa JF inataka kupoteza heshima yake, nilidhani umemsikia au kumwona akijuta, kumbe full hisia tu! Anyway, nimeipenda sana namna yako mpya ya kufikiri though siahidi kukuiga cause Ubongo wangu unaweza kukosa kazi ya kufanya an then you what will happen, nitakufa!
Kwani mimi Mpemba?