Ana frastulation za maisha
PILITONI acha jaziba na ushabiki usio na mantiki kwa taarifa yako derefa alikuwa akisimama kuzungumza kila mtu alisisimka kwa tone yake ya kisukuma na ujumbe wa moja kwa moja alioutoa na mara nyingi aliwatetea wakulima wa ibadakuli na maeneo mengine ya jimbo la shinyanga.
Derefa aliungwa mkono na wakulima na wafanyibiashara wa shinyanga na ndio maana aliweza kwa vipindi vyote viwili kumshinda nguli wa mageuzi marehemu Bob makani.
Tatizo lako pilitoni unajisahau na kuwa kama ccm inayofikiri inaweza kuwapumbaza watanzania muda
wote,watanzania wa leo wameamka na wanataka kuona watu wanaotetea maslahi ya wengi badala ya kuwa kama wewe unayewasifia na kuwavimbisha vichwa akina mwigulu ili kesho uwaombe vyeo na vijisenti.pilitoni haitibu kama ilivyo ccm inapunguza maumivu tu kwa muda na kuzifanya shida ziendelee kututafuna.Hatudanganyiki pilitoni.
Mzee Newe ni kada wa CCM ambaye hajivungi kusema ya moyoni, ni mkweli muwazi na muungwana, nadhani huu wasifu wake umemgharimu kwenye siasa za CCM ya sasa, siasa za majungu na unafiki.
Ukimsikia Derefa, ukamsikia Jenerali Ulimwengu, ukamsikia Hans Kitine unasikia sauti za wazalendo wanaoishi kwenye nchi iliyoacha njia kuelekea kusikostahili, wanashangaa jinsi mambo yanavyokwenda kombo wakiona kwa macho yao.
Duh, mkuu hapo (bolded) vipi?Ana frastulation za maisha
Ana (frastulation) za maisha
PILITONI acha jaziba na ushabiki usio na mantiki kwa taarifa yako derefa alikuwa akisimama kuzungumza kila mtu alisisimka kwa tone yake ya kisukuma na ujumbe wa moja kwa moja alioutoa na mara nyingi aliwatetea wakulima wa ibadakuli na maeneo mengine ya jimbo la shinyanga.
Derefa aliungwa mkono na wakulima na wafanyibiashara wa shinyanga na ndio maana aliweza kwa vipindi vyote viwili kumshinda nguli wa mageuzi marehemu Bob makani.
Tatizo lako pilitoni unajisahau na kuwa kama ccm inayofikiri inaweza kuwapumbaza watanzania muda wote,watanzania wa leo wameamka na wanataka kuona watu wanaotetea maslahi ya wengi badala ya kuwa kama wewe unayewasifia na kuwavimbisha vichwa akina mwigulu ili kesho uwaombe vyeo na vijisenti.pilitoni haitibu kama ilivyo ccm inapunguza maumivu tu kwa muda na kuzifanya shida ziendelee kututafuna.Hatudanganyiki pilitoni.
Ana frastulation za maisha
ahsante ndugu! Obheja sana nkoyi,nilitegemea hivyo na siyo matusi.Umechangia vizuri sana
Masikini hizi lugha za watu tunazishobokea tu bure mwisho wa siku ni kujiaibisha....Ana frastulation za maisha
Njaa inamsumbua huyo anapo ongea hapo hajielewi
Ana frastulation za maisha
Umegusa sehemu ambayo sikutaka kuchangia lakini inabidi niweke neno.PILITONI acha jaziba na ushabiki usio na mantiki kwa taarifa yako derefa alikuwa akisimama kuzungumza kila mtu alisisimka kwa tone yake ya kisukuma na ujumbe wa moja kwa moja alioutoa na mara nyingi aliwatetea wakulima wa ibadakuli na maeneo mengine ya jimbo la shinyanga.
Derefa aliungwa mkono na wakulima na wafanyibiashara wa shinyanga na ndio maana aliweza kwa vipindi vyote viwili kumshinda nguli wa mageuzi marehemu Bob makani.
Tatizo lako pilitoni unajisahau na kuwa kama ccm inayofikiri inaweza kuwapumbaza watanzania muda wote,watanzania wa leo wameamka na wanataka kuona watu wanaotetea maslahi ya wengi badala ya kuwa kama wewe unayewasifia na kuwavimbisha vichwa akina mwigulu ili kesho uwaombe vyeo na vijisenti.pilitoni haitibu kama ilivyo ccm inapunguza maumivu tu kwa muda na kuzifanya shida ziendelee kututafuna.Hatudanganyiki pilitoni.
daa kumbe wanalipwa elf 7 tu kushinda kwenye pc kutwa nzima? naona zitakuwa ndo zile ajira 1M alizoahidi MkuluYeye au wewe unayelipwa 7000 kwa kuifagilia CCM kwenye mitandao?