Mbunge mstaafu Derefa (CCM) Afagilia Upinzani Bungeni

Ninamuunga mkono Mh. Derefa kuhusu maoni yake ya vurugu na 'matusi' bungeni. Kwa hakika haya yanayoonekana bungeni yamnakuzwa kipropoganda kuonekana ni vurugu na matusi. Sijji tulitarajia nini hasa katika mfumo huu wa ushindani wa kivyama. Je tulitarajia vyma shindani vidimame bungeni na kusema wanaunga mkono hoja iliyoletwa na serkali axilima mia na kisha waanxe kukodoa tena silimia mia? Sidhani. Maana haya yalifanyika wakatyi wa chama kimoja na yakachukuliwa kama destuti na utamaduni wetu. Wala hatutarajii washindani wanyamaze wakati viongozi wa serkali wakidaganya au kuyojibu hoja kikamiligu na wakati huo huo wakilindwa na kiti cha spika. Ni vyema sasa badala ya kupiga ptopoganda tuwaandae watu wetu kataika utamaaduni mpya unaoambataba na sisa za ushindani wa vyama vingi.

Pia ni bora tukaimalisha mfumo badala ya kuendelea kukazana na jonzi za kutaka kuwaaminisha watu kuwa utamaduni na desturi za chama kimoja zitaendelea kudumu Tanzania. Kiongozi wa Bunge Mh. Makinda kama anataka kuingia katika historia njema ni bora abadilishe mfumo wake wa kuliongoza Bunge. Atende haki kwa wote na wala haitaji kuonyesha mapenzi yake kwa chama chake, kwa sababu kila mtu anajua hili. Ni kiongozi kipofu tu anayeongoza watu wenye fikra tofauti na mitazamo tofauti amabaye anatanguliza maoni na mapenzi yake wakati akitarajia amanI na ufanisi katika eneo analoliongoza!

Sisemi tukubaliane na matusi kama yaliyotolewa na Mh Serukamba lakimi nasema tukubali maoni tofautyi amabayo mengine yatakera kwa sababu ni kinyume na mapenzi yako.
 
Star TV walimwalika mbunge wa zamani wa CCM Mh. Leonard Derefa ili atoe maoni yake juu ya jinsi anavyoliona bunge la sasa leo asubuhi. Matumaini wa wanahabari hawa ni kupata negative feed back hali ikawa the other way round.

Derefa amesema kuwa anafurahia hili bunge kwa kuwa ni bunge la vyama vingi linalozungumzia issues na siyo siasa.

Akamponda Mchemba kwa jinsi anavyoleta U -CCM bungeni na kusahau majukumu yaliyomleta la kupigania maslahi ya wananchi waliomchagua.

Akamponda Anna Makinda (binti wa mkuu wa mkoa wa Tabora wa miaka ya 60) kuwa huenda amekuwa adicted na mfumo wa chama kimoja kwani amekuwa mbunge kwa takriban miaka 37 (tangia 1975). Amesema huenda mama bado anamtizamo wa kizamani.

Alimsifu Sita kuwa alikuwa akiliendesha bunge katika hali inayotakiwa ingawa CCM walimtoa kwa kuwa alikuwa hawabani wapinzani ipasavyo.

Mwandishi alipotaka kumpeleka mahali kwa kuponda wapinzani, mzee alichomoa na kuwasifia. Kuhusu matusi amesema hafurahii, ila kila mwanadamu ni mwendawazimu, ila inategemea ni jinsi gani ya ku m handle. Matusi yanakuja kama mtu anaona hapewi nafasi sahihi ya kusikika au kile anavyoona kinafaa hakitekelezeki. Na kwamba mbunge ana sheria zinazomlinda pale anaposema maneno makali.

Kuhusu vurugu, alisema haoni vurugu inayotokea ktk bunge letu. Amesema bunge la sasa linamsisimua, ni zuri lenye kila aina ya upinzani. Alisema mabunge mengine ya vyama vingi mtu anaingia bungeni na meno yake lakini akitoka bungeni ana mapengo kutokana na ngumi alizopigwa. Amesema watanzania wategemee vuguvugu hilo ndani ya bunge kwani ndiyo ukomavu wa kisiasa.

Amesema Kweli kabisa :=)
 
Apumzike kwa amani mzee Derefa, utabiri wake unatimia sasa
 
Back
Top Bottom