Ndo wabunge wenu hao full mipashoWakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
- Pre GE2025 - Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo
- Pre GE2025 - Mbunge CCM ataka Udhibiti mkali wa Mitandao: Tumevumilia, lakini tumechoka
- Pre GE2025 - Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani
Hiyo ilikua ni introduction tu, mbona issues alijadili?Mbunge anajadili muonekano wa mtu, badala ya kujadili issues.
mbona na yeye ni nyanya chungu
Hili bunge letu ni comedyWakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
- Pre GE2025 - Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo
- Pre GE2025 - Mbunge CCM ataka Udhibiti mkali wa Mitandao: Tumevumilia, lakini tumechoka
- Pre GE2025 - Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani
Maza analeta mkorogo bungeni.Hana intellectual ability wala point yoyote yaani bora hata dotomagari.Mbona Bashiru kama Anaona aibu kwa kile kinachozungumzwa na maza.
Ni njaa tu ila mzee Bashiru humo so kwako. Unaonekana
CCM kuna hazina ya wapumbafu tlaatlaah,Lucas mwashamba,chiembe msambatavanguCCM imejaa mizoga tupu
kama taifa tumenasa kwenye mkyundu wa ndovu chini hatukanyagi,maini hatuyagusiMaza analeta mkorogo bungeni.Hana intellectual ability wala point yoyote yaani bora zeroooo.
huo si mshangazi!Inasikitisha kuona mahali palipotakiwa kuwa na watu werevu na wenye akili! Panajaa vilaza na mashangingi ya mjini.
Nani alimpekeka bungeni mtu wa aina hii?Naona kichwa kinawaka moto😂View attachment 3346303
Hao ni wabunge wa chuma JPM🐼Nani alimpekeka bungeni mtu wa aina hii?
Mbona Bashiru kama Anaona aibu kwa kile kinachozungumzwa na maza.
Ni njaa tu ila mzee Bashiru humo so kwako. Unaonekan
Huyo Bashiru na wenzie ndio walishiriki kulitengeneza hili Bunge.Kwa intellectual capacity ya Dr Bashiru Ally, nadhani haifai hata kuwamo kwenye Bunge la namna hii. Ni aibu na fedheha. Basi tu kwavile ni utafutaji wa riziki.
sasa huyo Jesca mwenye sura na umbile, lisoelewekando akajifananishe na ion Lady Martha? akaangalie picha za Martha akiwa binti ndio ataelewa, sijawahi kulipenda kabisa hilo li Jesca, sura mbaya akili halina, kazi kulopoka tu.Martha karua nimemwona toka kitambo hiko akihudumu serikali kama sio ya kibaki, mpaka Leo Tena alikuwa mrembo na ana slay kuliko huyo mama ambaye hata jinsia haijui,
Martha karua umri umeenda kwa sasa, usitegemee ngozi itakuwa akiwa early 40's huko,
Pia ni maumbile ya watu, tuu
Huyo Jesca ana uzuri gani sasa ? Honestly mbona wa kawaida sana Tena sana,
Aache kumkashifu Martha,
Martha karua wa 20yrs back hata huyo Jesca haingii ndani.
Kama walialikwa kweli sioni ubaya wa kina Martha karua juu ya hilo, ni vile Ruto hataki kukosolewa mpaka anapigwa na kiatu shame on him, na pia bibiye mpotoko hataki kukosolewa ndo maana kina Martha wakazuiliwa.
Martha ataendelea na bado ni Ironic Lady. Big five to her.
cc secretarybird
Hii ndo cream ya CCM!Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya