Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.

Mwanamtandao hawezitibiwa Muhimbili, amepata sababu ya kwenda nje kama alivyopelekwa mbunge wa Kyela nae alipopatata ajali!! wanakwenda nje hata kufunga vidonda ili mradi ni wabunge ;kweli wanazifaidi hela za wadanganyika!
 
mbunge wenu???????? huu ni wa viti maalum, au nyie ndio watu maalum???????

Pona lakini urudi kujibu ulichoulizwa na Akilikichwani na utuambie ulikuwaje usababishe ajali? si vema mbunge kuwa mzembe, tunategemea uwe mfano wa mzuri kwa jamii.
 
Mafataki wanaona picha tu..lol


ufataki unalipa sana mkuu. imagine kila mtu anafunga pingu za maisha na mademu used, ukitaka kuonja brandi new inabidi uwe fataki!

kwa huyu mweshimiwa japo ni yuzed lakini anaita ni balaaa!!!!! hata ningekuwa daktari wakaniletea huyu, sipati picha namna ambavyo ningemtibu!!!!!!!!!!!!!!!!! kusema kweli nisingejali majeraha ya ajali!
 


Mbona hakuna merital status kwenye hiyo cv? dont tell me mtoto kama huyo hajaolewa!!
Niambie mapema kabisa nisije nikachoma mafuta bure tafadhali.
 
Nimeshapiga hiyo namba kwa bahati mbaya haipatikani,lakini nitajaribu kutuma email nadhani itajibiwa,ahsante mkuu.

Mkuu usijitakie balaa, huyu ni wife[ dogo dogo] wa Governor wa mkoa wa Iringa. Ajabu C.V. yake haina marital status yake! Isije ikawa ameachika.
 
Code:
Honourable





Lucy

Thomas

Mayenga
P.O.Box 44, Bariadi
Office Phone:
+255 713 260926
Date of Birth
23 August 1977
Code:

Mtoto bado mbichiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Kazaliwa juzi tu 1977.
Nasikia Muungwana anakung'uta mzigo.......
 
Mbona hakuna merital status kwenye hiyo cv? dont tell me mtoto kama huyo hajaolewa!!
Niambie mapema kabisa nisije nikachoma mafuta bure tafadhali.

Namie nilitaka kuuliza hilo. Marital status yake vipi??
 
Pole sana mama, maana kial wakati watu muhimu sana kama wewe na wengine wazalendo ndio wanapata ajali. Mungu saidia kwa hili
 
Pole sana Dada Mdogo Lucy Mayenga. nakuombea upone haraka, ili uweze kuendelea na shughuli zako za kawaida.
 
Pole sana mama, maana kial wakati watu muhimu sana kama wewe na wengine wazalendo ndio wanapata ajali. Mungu saidia kwa hili


fafanua basi umuhimu wake na wengine tuujue manake anawakilisha watu maalum na kadiri nijuavyo kwa tz hakuna mtu maalum
 
Pole bibie. Mungu akusaidie upone haraka uchaguzi uko around the corner ni wakati wa kujitayarisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…