Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

Mbona hakuna merital status kwenye hiyo cv? dont tell me mtoto kama huyo hajaolewa!!
Niambie mapema kabisa nisije nikachoma mafuta bure tafadhali.

nani aoe kitu used hicho...
 
1312.jpg

pole dada yetu

Dah mzuri sana kwa sura.
Sijawahi mwona akichangia bungeni wala kumsikia wenzangu vp anamchango gani huyu kwa taifa?
 
Alishawahi olewe na jamaa fulani hivi! miaka ya 90s nijuavyo aliachika!
 
Kama safari ilikuwa ya kikazi kwa nini aendeshe mwenyewe, si aajili dereva jamani!!! hata kusema pole tunashindwa sasa.
 
Kwa nini bado tunakumbatia hawa wabunge wa kuteuliwa na rais kwenye mfumo wetu wa vyama vingi? Nafikiri hii inawapa advantage chama tawala kuongeza wabunge japokuwa kuna wachache kutoka upinzani. Mbunge alitakiwa apatikane kwa merits zake kwa kuchaguliwa fairly na wananchi, na sio mapenzi binafsi ya rais....this is very anti-democracy!

You are damn right!
Katiba ya jamhuri inamruhusu raisi kuteua wabunge 10 wa viti maalum. Wengine pia wanaingia bungeni kwa kuteuliwa na vyama vyao kulingana na wingi wa kura ambazo chama kilipata wakati wa uchaguzi mkuu, mfano wake Halima Mdee wa Chadema. Ni wengi sana hawa.
 
Akili yako bana kweli jembe km Mdee liwe vitimaalum .tokaaa hapa
 
Back
Top Bottom