Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Yawezekana wanataka kumtengenezea ushahidi wa uongo kwenye simu, ipad na laptop waliyochukua. Au wanataka kufuta sms iliyotumwa na mkuu wa mkoa? Tutaona mengi ya kuudhi ili tuwe na hasira ya kutosha tutakapoamua.
 
Kwa hiyo Lema atakuwa mahabusu hadi jumatatu... This is very irritating. Hivi Arusha ina polisi wangapi na wafuasi wa Lema wangapi...

Polisi washukuru kwamba hii ni arusha na siyo MASASI au LIWALE, saa hizi tungekuwa tunaongea mengine
 
Ksa nin? huy kamand mbona wanamwndama ivyo? 2juz mkuu
 
Acheni sheria ifanye kazi."makamanda wahini arusha"ili iweje. Who is lema by the way
 
kiukweli it was rong selection watanzania tuache ushabiki kwenye siasa tuchague viongozi makini wenye hoja za msingi sio kam,a mbayuwayu

Naona kweli hapo kwenye red.Tatizo una kiherehere,wewe ngumbaru
 
Hivi tulivyoelezwa kuwa kuna watu wameingia JF kama sehemu ya ajira na wanatoa mada kwa kulipwa yawezekana ni kweli; au ndiyo mambo ya ajira kwa vijana? Kweli mwaka huu tutasoma mada zisizo na kichwa na miguu bora tu watu wanafukuzia posho zao kupitia m pesa.
 
Poleni wananchi wa Arusha kwa kukamatwa mbunge wenu halalali, tabia hii ya kutumia jeshi la polis kichama litaigharimu nchi yetu, tanzania sio salama tena!
 
Hivi tulivyoelezwa kuwa kuna watu wameingia JF kama sehemu ya ajira na wanatoa mada kwa kulipwa yawezekana ni kweli; au ndiyo mambo ya ajira kwa vijana? Kweli mwaka huu tutasoma mada zisizo na kichwa na miguu bora tu watu wanafukuzia posho zao kupitia m pesa.

kama hazikuhusu funga DOMO lako?
 
Kitendo Cha Lema kumlipua prezdaa kuhusu udini jambo hili halikuwacurahisha. Kuna uwezekano wanatafuta ushahidi atakaouwasilisha bungeni.
 
Back
Top Bottom