Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Masasi LIwale imewatoa jasho ,Mtwara KIkwete anapaona kituo cha polisi itakuwa Arusha subiri uone waamuke machalii
hakuna cha machaliii...kesho usikimbie hapa jukwaani...mnadanganyana sana nyie
 
Kikwete hajaenda Jamaica atakuwa ametoa amri ya kumuua ,nyie ngojeni tuu huyu Raisi na jini sikujua

Sio Kikwete mkuu,I hope Raisi wetu mpendwa anajua kama kuna mungu sidhani kama anashawishika kutoa uhai wa binadamu mwnzie,huyo ni mkuu wa mkoa analipiza kisasi kuonesha na yeye ni mbabe ...kumbe pu.nga tu
 
Hongereni kwa kutupa updates muhimu. Huenda ilipasa muwe mmelala usingizi wa usiku wa manane lakini mmefuatilia tukio hadi mwisho kwa usiku huu. Mungu amlinde huko ndani wasimtende vibaya. Kesho wananchi wa Arusha mjini wajitokeze kwa wingi kwenda Central Polisi kumwona huyo kamanda wa ukweli.
Ila kakamatwa kwa tuhuma gani bado ni kitendawili labda kesho mbivu na mbichi zitajulikana.
 
Hizo harakati za kuzima madai ya fidia ya ushindi wa kesi ya ubunge. Watamtoa roho aangalie
 
Askari huku wakiongea kwa kejeli, matusi na vitisho wametufukuza eneo la police na kutuambia wasituone hapo tena, huku wakimuingiza Mh. Lema ndani ya kituo. Hili Jeshi la police linaendeshwa kwa amri toka Ofisi za Lumumba! Kwa style hii Tanzania itaingia kwenye historia mpya muda si mrefu.
 
Sasa nyinyi mlitaka kufanya nini eneo la polisi?

Hamna kazi za kufanya asubuhi?
 
Tunisia mambo yalianza kama hivi, japo siombei yatokee nchini kwetu lakini itafika wakati wananchi wanatasema liwalo na liwe.
 
So unfair........inauma sana kwakweli. Nakuombea Mungu Kamanda Lema nguvu za mashetani Magamba zishindwe. Ee Mungu shusha nguvu zako uyatokomeze magaidi haya MaccM
 
  • Thanks
Reactions: BAK
So unfair........inauma sana kwakweli. Nakuombea Mungu Kamanda Lema nguvu za mashetani Magamba zishindwe. Ee Mungu shusha nguvu zako uyatokomeze magaidi haya MaccM
Usijisumbue kumuombea, Lema alishasema kwa kule Arusha yeye na Mungu ni ngoma droo kimaamuzi!!
 
Mungu husimama daima upande wa wenye haki.

Dont Give up Lema,
We love you more.
 
Sasa nyinyi mlitaka kufanya nini eneo la polisi?

Hamna kazi za kufanya asubuhi?

mbona una roho mbaya kiasi hiki? Mambo unayoandika yanachochea hisia kali sana za kulipiza kisasi kwa watu kama nyinyi. Kama huna la kuandika soma tu, wala hutapungukiwa kitu. Unaboa sana na comment zako. Kama LEMA kawazidi ARUSHA kubalini tu yaishe kama àmbavyo CDM wamekubali ZANZIBAR. JIREKEBISHE MKUU
 
labda itakuwa ni kuhusu mgomo wa icho chuo cha ARUSHA ...,kwa nilivyo sikia eti yeye ndiye aliye changia wanafunzi kuleta fujo...., mmmmmmh....
KATIBA SIJUI KAMA INATEKELEZWA......😛layball:
 
Ebana huyu Lema mbna kila siku ye majanga tu,..hafai kuwa mbunge.
 
Hakika ni uonevu na udhalimu uliopitiliza! Ninachoona ni kukimbia vivuli vyao!
 
mbona una roho mbaya kiasi hiki? Mambo unayoandika yanachochea hisia kali sana za kulipiza kisasi kwa watu kama nyinyi. Kama huna la kuandika soma tu, wala hutapungukiwa kitu. Unaboa sana na comment zako. Kama LEMA kawazidi ARUSHA kubalini tu yaishe kama àmbavyo CDM wamekubali ZANZIBAR. JIREKEBISHE MKUU

Akili za bavicha hizi...
 
Back
Top Bottom